Jaysal Limited

Jaysal Limited We deliver more than expected

17/07/2015

Uongozi pamoja na wafanyakazi wote wa JaySal Barbecue wanakutakia Eid mubarak!!!

Inshaa Allah tukutane kesho viwanja vya kufurahishia watoto vya Kariakoo!!!

11/06/2015
07/06/2015

Ahsanteni wale wote mliojitokeza jana kuja kwenye show ya Kingwendu na kuja kupata chakula kitamu kwenye barbecue yetu. Special thanks kwa Nassor Sultan & Zaynab Mamushka na familia yao waliotoka Dar es Salaam kuja Zanzibar kwaajili ya kuchizika na nyama choma!!!

Zawadi ni chochote kupokea usichoke, hii ni zaidi ya zawadi ahsante Habibulah Haji Abdalla mkali wa graphic Zanzibar!!!
03/06/2015

Zawadi ni chochote kupokea usichoke, hii ni zaidi ya zawadi ahsante Habibulah Haji Abdalla mkali wa graphic Zanzibar!!!

Zawadi ni chochote kupokea usichoke, kwetu hii ni kuliko zawadi ahsante Habibulah Haji Abdalla mkali wa graphic Zanzibar...
03/06/2015

Zawadi ni chochote kupokea usichoke, kwetu hii ni kuliko zawadi ahsante Habibulah Haji Abdalla mkali wa graphic Zanzibar!!!

25/05/2015

kila Jumamosi na Jumapili tutakuwa na viji-surprise vya hapa na pale usikubali ikupite weekend hii kutakuwa na vitu flani hivi amazing!!!

21/05/2015

Kila siku tunafungua kuanzia saa saba mchana mpaka saa tano usiku. Nyote mnakaribishwa!!!

16/05/2015

Tukutane leo tena pale Kariakoo - Viwanja vya Kufurahishia Watoto, upande wa Miembeni kuanzia saa saba mchana mpaka saa tano usiku. Chakula kitamu, bei nafuu!!!

14/05/2015
Kimenuka
14/05/2015

Kimenuka

12/05/2015

Alhamisi hii ya tarehe 14/05/2015 panapo majaaliwa si ya kukosa tukutane pale kwenye Launching Party ya barbecue yetu Kariokoo - Viwanja Vya Kufurahishia watoto upande wa Mimbeni kwenye parking za magari. Zawadi kibao zitatolewa kwa watokaofika mapema mida ya saa kumi na moja jioni. Washkaji kibao watakuwepo pale, mabingwa wa nyama choma za kukuchizisha, vinywaji na mambo mengine kibao. Mwambie rafiki yako amwambie rafiki yake tukutane pale!!!

Address

Mbuyuni
Zanzibar

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Telephone

0713742275

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jaysal Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to Jaysal Limited:

Share

Category