15/12/2020
Wali uliochanganywa na vegetables, pweza, ngisi na prawns. (Chinese)
Utapatikana Zenjoya siku ya Alhamis na Ijumaa kwa shilingi 5000/- kwa parcel
Pia Biriani litakuwepo kwa bei iyo iyo
Nyote Mnakaribishwa