24/09/2023
Baba yako nipo Duniani,
Nawapambania Wadunia,
Naamini Unaniombea Binti yangu ndio maana niko Salama. ,
Mheshimu Mama yako,
Mwite Mke wa Baba yako.
Kesho yako itakua njema Binti yangu.
Wapende Ndugu zako hata utakaowajua Baadae.
Uko kwenye Orodha ya Urithi wa Baba yako.
Na wewe ni Mtawala wa Familia ya Bibi yako Mzaa Baba.
NAKUPENDA Binti yangu Brigitha Anthony Ishika