Kili Crown Cleaning Services

Kili Crown Cleaning Services Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kili Crown Cleaning Services, Moshi, Kilimanjaro, Himo.

KILI CROWN | CLEANING & MOVING
πŸ’Ž The Standard of Excellence others follow.
πŸ’Ž The Global Standard in Property Care.
🧼 Master Cleaning | 🐜 Advanced Fumigation | 🚚 Seamless Moving.
✨ We don’t just clean, we restore.

26/09/2026
24/09/2026

πŸ€πŸ¦‡ SI KILA VISHINDO KWENYE NYUMBA YAKO NI UCHAWI!

Usiku watu walikuwa hawalali kutokana na vishindo vya panya na popo waliokuwa wamejificha darini. 😳
Kelele zilikuwa kubwa kiasi kwamba baadhi ya watu wakaanza kuhusisha hali hiyo na mambo ya kishirikina.
Lakini ukweli ni kwamba, si kila sauti ya ajabu ndani ya nyumba ina maana ya uchawi. Wakati mwingine chanzo kinaweza kuwa wadudu au wanyama waharibifu walioingia kwenye dari.

πŸ¦‡ Popo
πŸ€ Panya
πŸͺ³ Wadudu waharibifu
🏠 Dari na maeneo yaliyofichika

Kili Crown Cleaning, Fumigation & Moving Services tunasaidia kutambua na kudhibiti changamoto za pests katika nyumba, ofisi na maeneo mbalimbali.

πŸ“ž 0794 009 061
πŸ“ Moshi, Kilimanjaro

Usiku wa amani unaanza na mazingira salama. πŸ‘‘

21/09/2026

🧼✨ NYUMBA YAKO INAHITAJI DEEP CLEANING? TUNAKUJA!

Usafi wa kawaida hautoshi kila wakati. Deep Cleaning inaleta usafi wa kina, ikifika hata sehemu ambazo mara nyingi hazisafishwi vizuri. ✨

🏠 HATUBAGUI NYUMBA β€” TUNAFANYA NYUMBA ZA AINA ZOTE!
Kuanzia nyumba ndogo hadi nyumba kubwa, apartment, office na maeneo mengine β€” Kili Crown tupo tayari. πŸ‘‘

🧹 Deep Cleaning
πŸ›‹οΈ Sofa & Furniture Cleaning
πŸͺŸ Windows Cleaning
✨ Floor & Surface Cleaning
🏑 Indoor & Outdoor Cleaning
We don’t just clean… we bring your space back to life! πŸ‘‘

πŸ“ž 0794 009 061
πŸ“ Moshi, Kilimanjaro

31/08/2026

πŸ—οΈβœ¨ UJENZI UMEKAMILIKA, SASA NI MUDA WA KURUDISHA UREMBO WA NYUMBA YAKO! πŸ§ΉπŸ‘‘

Baada ya ujenzi au marekebisho, vumbi, mabaki ya rangi, saruji na uchafu vinaweza kubaki kila sehemu. Kili Crown Cleaning Services tunafanya usafi wa kitaalamu baada ya ujenzi ili kuhakikisha nyumba yako inakuwa safi, salama na tayari kutumika. πŸ’ͺ🏽✨

🧽 POST-CONSTRUCTION CLEANING
🏠 DEEP CLEANING
πŸͺŸ Usafi wa madirisha, milango na kuta
🧹 Kuondoa vumbi na uchafu wa ujenzi
✨ Kusafisha sakafu na maeneo yote ya nyumba
Ujenzi wako unastahili kumaliziwa kwa usafi wa kiwango cha juu! πŸ‘‘βœ¨

πŸ“ Location: Moshi, Kilimanjaro
πŸ“ž Call/WhatsApp: 0794 009 061
Kili Crown Cleaning Services
β€” Treating Your Space Like Royalty πŸ‘‘

23/08/2026

πŸ”₯ AFTER RENOVATION CLEANING – MOSHI, KILIMANJARO πŸ”₯

Renovation complete? Let Kili Crown Cleaning Services bring your space back to life. πŸ‘‘βœ¨
Our professional post-renovation cleaning service in Moshi removes construction dust, paint marks, plaster residue, cobwebs and stubborn dirt, leaving your home clean, fresh and ready to enjoy.

🧹 Deep cleaning
πŸͺŸ Window & glass cleaning
πŸšͺ Doors & walls cleaning
🏠 Full house cleaning
✨ Floors & tiles cleaning
πŸ›‹οΈ Sofa & furniture cleaning
🌿 Indoor & outdoor cleaning

πŸ“ Serving Moshi, Kilimanjaro and surrounding areas
πŸ“ž 0794 009 061

πŸ“© Book your cleaning service today.
Kili Crown Cleaning Services β€” Treating Your Space Like Royalty. πŸ‘‘





πŸ‘‘

16/08/2026

✨ YOUR SPACE DESERVES THE BEST CARE! 🧹✨

Don’t wait until your home or office becomes difficult to clean. Let the professionals take care of it for you.

At Kili Crown Cleaning Services, we provide professional cleaning services with modern equipment, quality cleaning products and attention to every detail.

🏠 Homes
🏒 Offices
🏨 Hotels & Businesses
πŸ›‹οΈ Furniture & Sofa Cleaning
✨ Deep Cleaning & Post-Construction Cleaning
Sit back, relax and let us transform your space into a cleaner, fresher and more comfortable environment.

πŸ“ž BOOK YOUR CLEANING TODAY:
+255 794 009 061
πŸ“Moshi, Kilimanjaro

πŸ‘‘ Kili Crown Cleaning Services
Treating Your Space Like Royalty.
Book the cleaner. Enjoy the clean. ✨

12/08/2026

πŸ›‘οΈ WADUDU WAMEKUZIDI? TUNATOKOMEZA! πŸ›‘οΈ

Usiruhusu mende, panya, kunguni, mchwa, mijusi na wadudu wengine wasumbufu kuhatarisha afya ya familia yako au kuharibu mali zako.

Kili Crown Cleaning Services tunatoa huduma za kitaalamu za Fumigation & Pest Control kwa nyumba, ofisi, mahoteli, maghala na biashara mbalimbali. Tunatumia kemikali salama, zenye ufanisi na vifaa vya kisasa kuhakikisha wadudu wanatokomezwa na kuzuiwa kurudi tena.

βœ… Fumigation ya ndani na nje
βœ… Dawa salama kwa binadamu na mifugo
βœ… Wataalamu wenye uzoefu
βœ… Matokeo ya uhakika
βœ… Huduma Moshi na maeneo ya jirani

πŸ“ž 0794 009 061
πŸ“ Moshi, Kilimanjaro
πŸ‘‘ Kili Crown Cleaning Services
Treating Your Space Like Royalty

Address

Moshi, Kilimanjaro
Himo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kili Crown Cleaning Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share