Rada Internet Cafe

Rada Internet Cafe We are providing internet services, Creating websites and Printing both colored and Black & white as well as scanning

14/05/2021

Katika kipindi hiki cha kutuma maombi ya kazi za ualimu na kada ya afya. Rada internet Cafe inawapatia huduma hiyo kwa viwango vya juu. Tunapatikana Ifakara. Karibuni

20/05/2019

NEWS>>> Mtandao wa Rita wa kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa waombaji wa mikopo ya vyuo vikuu umefunguliwa. Hakiki mapema cheti chako kiwahi kurudishwa kabla waombaji hawajaanza kuwa wengi.

NB: Ikumbukwe kuwa vyeti huchelewa kurudishwa hadi tarehe ya kuomba mkopo inapita hivyo wahi kuhakiki ili muda wa kuomba mkopo ukifika uwe tayari una cheti chako kilichohakikiwa.

18/07/2018

NEWS>>AJIRA mpya za walimu shule za msingi zimetoka. Karibuni
ifakara internet cafe

BREAKING NEWS >>>> Matokeo ya kidato cha sita yametoka. Karibu Ifakara Internet Cafe kujionea.
13/07/2018

BREAKING NEWS >>>> Matokeo ya kidato cha sita yametoka. Karibu Ifakara Internet Cafe kujionea.

10/06/2018

>> NEWS NEWS NEWS

16/05/2018

Tunapenda kuwakaribisha waombaji wote wa mikopo ya elimu ya juu kupitia Bodi ya mikopo HESLB kuwa, tunatoa huduma hiyo ya kudownload fomu hizo za mikopo. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15,July 2018. Karibuni Ifakara Internet Cafe.

30/01/2018

Matokeo ya kidato cha nne yametoka. Karibu ifakara internet Cafe kwa huduma hiyo na nyingine nyingi

05/08/2017

MUHIMU: Kwa wale wote waliotuma maombi ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na matawi yakeya DUCE na MUCE mnatakiwa kuingia kwenye kurasa/profile zenu za maombi na kumalizia kipengele kipya kilichowekwa jana cha ku CONFIRM/SUBMIT APPLICATION. Baada ya hapo utapokea ujumbe wa kuonyesha maombi yako yametumwa. AHSANTENI

19/07/2017

Taarifa kwa Watumishi wote wa umma kuhusu SALARY SLIP. Watumishi waliokuwa wanahitaji huduma ya kuprint salary slip kwa njia ya mtandao, Huduma hiyo sasa inapatikana baada ya mtandao wa utumishi kufunguka sasa. Karibuni Ifakara Internet Cafe kuprint salary Slip zenu.
Ahsante

15/06/2017

JOINING INSTRUCTIONS ZA KIDATO CHA TANO ZIMETOKA. KARIBUNI

25/05/2017

Majina ya wahitimu wa kidato cha sita waliopangiwa JKT yametoka. Unaweza kupata huduma kwa kubofya "CALL NOW" kwenye ukurasa wetu na kupiga simu

21/05/2017

Mfumo wa kutuma maombi ya stashahada na astashahada umefunguliwa

Address

Ifakara
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rada Internet Cafe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to Rada Internet Cafe:

Share