Rejoyce Restaurant

Rejoyce Restaurant Excellent environment, friendly service, great menu choices and really decent food and at affordable prices. Warmly welcome

Space for holding meetings end events like Birthdays

04/07/2023

Singles spesho talk and dinner msimu huu Wa sababsaba siyo ya kukosa... singles wote tukutane Morogoro usikubali kukaa kinyonge

08/06/2023
11/2/2023
12/02/2023

11/2/2023

Je Wajua Kwamba Prevalentine Couples Dinner Itaongeza Mapenzi Yenu Maradufu? K**a Wewe Ni Mume, Mke, au Upo Kwenye Uchum...
11/01/2023

Je Wajua Kwamba Prevalentine Couples Dinner Itaongeza Mapenzi Yenu Maradufu?

K**a Wewe Ni Mume, Mke, au Upo Kwenye Uchumba Basi Hii Ni Maalum Kwa Ajili Yako.

Na ndio maana kwa msimu wa 7 sasa,

*Rejoyce Catering Services Wamekuletea Prevalentine Couples Dinner Date*

Siku Ya Tarehe *11 Mwezi Wa Pili 2023* Kuanzia Saa 10 Jioni Mpaka Saa 4 Usiku,

Siku Hii Wapendanao Wote Mtatoana Out , Kuzungumza Namna Ya Kuyajenga, Kuyaboresha Na Kuyafanya Mapenzi Yenu Yastawi Kwa Muwapendao.

Kutakuwepo Na Mada Mbalimbali Kuhusu Mahusiano, Mtakata Keki Ya Upendo Pamoja, Mtakula Na Kunywa Pamoja, Mtaburudishwa Na Mziki Laini,
..Na Uzuri Mtakutana Na Wenzenu Wanaopendana Kwa Dhati K**a Nyie,

Hivyo Mtapata Nafasi Ya Kutengeneza Koneksheni Za Kibiashara Na Kikazi.

Mahali Ni *Rejoyce Restaurant, Morogoro Mjini Mtaa Wa Ngoto Karibu Na Benki Ya CRDB MASIKA*

Tiketi Kwa Wapendanao Wawili (Yaani Double)
Ni *Tzs 50,000*

Na Zinapatikana Rejoyce Restaurant,
..Wasiliana Nasi Kwa Kupiga Simu Namba *0752292006*

Au Bonyeza Hapa*wa.me/255752292006*

Prevalentine Couples Dinner Date 2023,

*Mchukulie Tiketi Sasa Aionje Ladha Ya Upendo*

Karibu Sana.

09/01/2023

Hii sii ya kukosa kabisa...njoo tuboreshe mahusiano yetu... kumbuka ni 50,000tu Kwa wapenzi 2...unaikosaje hii?

A great outdoor to chill...your welcome Rejoyce catering service and Restaurant
08/12/2022

A great outdoor to chill...your welcome Rejoyce catering service and Restaurant

Welcome our friends. We also do delivery around Morogoro town!
04/03/2022

Welcome our friends. We also do delivery around Morogoro town!

Buy your ticket now! You're welcome!
18/01/2022

Buy your ticket now! You're welcome!

Address

Ngoto Road
Morogoro
023

Opening Hours

Monday 07:00 - 22:00
Tuesday 07:00 - 22:00
Wednesday 07:00 - 22:00
Thursday 07:00 - 22:00
Friday 07:00 - 22:00
Saturday 07:00 - 22:00

Telephone

+255752292006

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rejoyce Restaurant posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to Rejoyce Restaurant:

Share