Lunji Coffee Estate, is a coffee farm located in the southern highlands of Tanzania. Beeing directly at the foot of the Mbeya mountain range, Lunji Estate boasts of a breathtaking ambience defined by a spectacular diversity of flora and fauna. However the enviromental beauty of the place is not all it has to offer. Lunji coffee also belongs to one of the worlds best coffees. Lying at approximatel
y 1500m above sea-level, this is the best place for your cappuccino to grow. Follow us as we introduce you to the world of coffee, with a primary focus on Tanzanian coffee. Lunji coffee.Let us also show you the direction in which we want to go, and how coffee can perhaps bring about changes in whole communities. Lunji Coffee Estate ni shamba la Kahawa lililopo katika mkoa wa Mbeya. Shamba lina sifa ya kuwa na mazingira ya kupendeza sana, haswa kwa kuwepo karibu kabisa na mlima Mbeya, na kwa kuwa hifadhi ya wanyama na mimea mbali mbali. Isitoshe, kahawa ya Lunji pia ni miongoni mwa kahawa bora duniani na kwa uzalishaji wa kahawa mkoani Mbeya Lunji Estate tunaweza kujisifia kuwa mstari wa mbele. Kwa kuwa shamba lipo mita 1500 juu ya bahari, dalili zote za kuzalisha kahawa bora zimehakikishwa. Kuwa pamoja nasi tukikusafirisha katika ulimwengu wa kahawa, na zaidi kahawa ya nchi yetu Tanzania, Kahawa ya Lunji. Wacha tukuonyeshe mwelekeo wetu na ni namna gani je, kahawa inaweza kuleta mabadiriko katika jamii.