Mwandandila Catering Services

Mwandandila Catering Services Tuna toa huduma ya chakula kwenye shughuri mbalimbali kama vile SHEREHE,WARSHA,MIKUTANO,SEMINA,KONGA

Tuna toa huduma mbalimbali ,kama vile kutoa huduma ya chakula kwenye shughuri mbalimbali kama vile SHEREHE,WARSHA,MIKUTANO,SEMINA,KONGAMANO nk.

13/06/2026

Kutana na watu wanao ipenda kazi na kazi inawapenda hivyo kazi na wao yaani Mwandandila Catering Services wanapendana
Tupe kazi tukufanyie kazi

11/06/2026

Mwandandila catering

07/06/2026

TAREHE 06/06/2026 ULIKUWA USIKU MZURI KWA WANANDOA HAWA WAPYA MJINI BWANA JOSHUA KYANDO NA BI MARIAM KYALAALIKO NDANI YA UKUMBI WA EDEN JIJINI MBEYA. NASI MWANDANDILA CATERING SERVICE TUKAPATA KIBALI CHA KUWAHUDUMIA.

TUTUMIE TUKUTUMIKIE

27/05/2026

TUKO tayari kukuhudumia, TUPE KAZI TUKUFANYIE KAZI hutojutia kutupatia jukumu hili

24/05/2026

MWANDANDILA CATERING SERVICE USIKU HUU TUKIMHUDUMIA BWANA NA BIBI BARAKA T. MWASWALA

Tupe kazi tukufanyie kazi hutojutia
0786 939339
0768837867

14/05/2026

Tupe kazi Tukufanyie kazi iliyotukuka

14/03/2026

MWANAMKE SHUJAA NDANI YA EDEN HALL JIJINI MBEYA

26/02/2026

Address

Ghana
Mbeya

Telephone

+255765 813 699

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwandandila Catering Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share