15/08/2026
Kwa kitaalamu, mwanga wa tofauti na mweupe unaweza kupendelewa kwa sababu:
🐣 Hauleti msisimko mkubwa kwa embryo k**a mwanga mkali mweupe.
🌙 Unaendana zaidi na mazingira tulivu ya incubation.
🐥 Baada ya kuanguliwa, mwanga usio mkali husaidia vifaranga kuwa na utulivu.
Regard
Golden Hatch Co Ltd
0676 855 787
Mbeya Tanzania