28/08/2014
WADAU wote wa page hii ya DAGAA DAGAA tunawatangazia kua tunaifunga rasmi page hii na badala yake tutakua na page nyingine itakayokujia hivi karibuni tafadhali sana usikose kuweka LIKE yako na tuendeleze kupeana habar zaid za DAGAA DAGAA bila kusahau kesho ni LADIES NIGHT na offer za kumwaga......