Chicken choice poultry

Chicken choice poultry Tumechagua kuku bora kwa lishe na kipato kizuri. "bidhaa za kuku wa kienyeji kwa afya yako"

29/07/2024

Pellet Durability Index (PDI) by using an ideal combination of raw materials and implementing different machinery settings.

20/01/2023

06/01/2021

karibu kwa vifaranga vya kuroiler 1500,saso 1500 na kienyeji 2000

30/12/2020

nashukuru mr james kutuamini kukuzalishia vifaranga #70 bado 35...chickenchoice poutry

28/12/2020

Kuroiler hen can lay 140 to 150 eggs per year...mbegu ya kuku ya kuroiler inataga mayai 140 mpaka 150 kwa mwaka.

kuchii mbeguu nzurii sana...
21/12/2020

kuchii mbeguu nzurii sana...

11/10/2020

vifaranga karibuni....

11/10/2020

vifaranga karibuni..

Karibunii watea jogoo hilo...lipo moshi..bei elf 28..linafaa kwa mbegu au kula..karibunii
26/09/2020

Karibunii watea jogoo hilo...lipo moshi..bei elf 28..linafaa kwa mbegu au kula..karibunii

27/05/2020

Hapa kuna magonjwa matatu ambayo watu wanayachanganya
1.mafua
2.upungufu wa vitamin A
3.Ndui
👆👆👆👆 ni vema mfugaji kujua tabia na dalili ya haya magonjwa.ntayaongelea kwa kifupi.
1.mafua - ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria ambapo dawa yake ni antibiotics hapo unaweza kutumia ya aina mahsusi kwa mafua..
chanzo kikubwa cha mafua ni uchafu iwe vyombo vya maji na chakula vichafu,vumbi ndani ya banda yani kiujumla uchafu. Kuku hukoroma,kupumua kwa shida,kuwa na uteute puani na mdomon..
2.upungufu wa vitamin A
Kuku huvimba macho na ndani ya macho ukiminya kunatokea ugando meupe k**a maziwa mgand...huu unatibiwa kwa kuwapa kuku lishe bora na vitamin mfano amilyte..pia kuwapa majani kuboost vitamin kiujumla..
3.ndui
Huu auna tiba ila una kinga kwani husababishwa na virus hivyo kuku anapaswa kuchanjwa akiwa na miezi 2..kuku havimbi kichwa bali huota vitu kana madonda kwenye kilemba,mdomoni na mashavunii...
Kwa uchache zingatia usafi wa banda,vyombo kila siku wape vitamin na antibiotic ya kutibu ugonjwa husika... .

Mbegu ya kuku bei ghali kuliko zotee dunianii
04/05/2020

Mbegu ya kuku bei ghali kuliko zotee dunianii

Address

Old Moshi
Kilimanjaro

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00
Sunday 09:00 - 14:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chicken choice poultry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share