Highway Cafe Ilula

Highway Cafe Ilula Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Highway Cafe Ilula, Cafeteria, Ilula.

HAPPY WORKERS DAY "Tunawatakia Wafanyakazi wote heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi" Free Wi-Fi | Good Music | High Security ...
01/05/2026

HAPPY WORKERS DAY

"Tunawatakia Wafanyakazi wote heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi"

Free Wi-Fi | Good Music | High Security | Free Parking


ioptanzania workersday

22/04/2026

Karibu ufurahie chakula kizuri na mazingira mazuri 🍽️πŸ”₯

Karibu Highway Cafe Ilula – chakula fresh, hot & tasty kila siku!
Njoo ule, ufurahi na wapendwa wako ❀️

Tunapokea oda za:
βœ… Harusi
βœ… Birthday
βœ… Family & Office Events

πŸ“ž Piga simu: 0760 879 229
πŸ“² WhatsApp: 0760 879 229

Video by .purity

TanzaniaFood EatTogether CafeLife

Fresh, Hot & Tasty πŸ”₯Karibu Highway Cafe Ilula – ladha halisi utakayoikumbuka πŸ˜‹Tunapokea oda za:πŸ’ HarusiπŸŽ‰ BirthdayπŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦...
16/04/2026

Fresh, Hot & Tasty πŸ”₯
Karibu Highway Cafe Ilula – ladha halisi utakayoikumbuka πŸ˜‹

Tunapokea oda za:
πŸ’ Harusi
πŸŽ‰ Birthday
πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ Family Events
🏒 Office Events

Chakula safi, kitamu na huduma bora kwa kila tukio lako!
πŸ“ž Order sasa: 0760 879 229

DeliciousMeals

10/04/2026

Karibu Highway Cafe kwa huduma bora za vyakula na vinywaji.

πŸ“ Highway Cafe Ilula
πŸ“ž 0760-879 229

GoodVibes

πŸŒ…βœοΈ Happy Easter kutoka Highway Cafe βœοΈπŸŒ…Wishing you a blessed Easter filled with love, joy na amani.Leo njoo ufurahie pa...
05/04/2026

πŸŒ…βœοΈ Happy Easter kutoka Highway Cafe βœοΈπŸŒ…

Wishing you a blessed Easter filled with love, joy na amani.

Leo njoo ufurahie pasaka yako kwa kula chakula kizuri na vinywaji baridi na moto lakini pia muziki mzuri wenye ladha ya pasaka na burudani nyingine nyingi 🎢🍽️πŸ₯€

Karibu tusherekee pamoja katika mazingira mazuri na huduma bora.

πŸ“ Highway Cafe Ilula
πŸ“ž 0760-879 229

GoodVibes

Ladha halisi ya mtaa! Highway Cafe tunakuletea chakula fresh, moto na kitamu sana kila siku πŸ˜‹πŸ— Kuku wa kuchoma🍝 Noodles ...
30/03/2026

Ladha halisi ya mtaa!
Highway Cafe tunakuletea chakula fresh, moto na kitamu sana kila siku πŸ˜‹
πŸ— Kuku wa kuchoma
🍝 Noodles zenye ladha ya kipekee
πŸ› Pilau na biriani tamu
β˜• Coffee ya nguvu kuanza siku yako

πŸ“ Njoo ule nasi – breakfast, lunch hadi dinner tunakuhudumia!
πŸ“ž Piga simu: 0760 879 229 ku-order sasa

ChakulaKitamu OrderNow

Safari njema huanza na chakula kitamu πŸ½οΈβ˜•,  Karibu Highway Cafe  β€” mahali pa ladha halisi ya breakfast, lunch, dinner na...
28/03/2026

Safari njema huanza na chakula kitamu πŸ½οΈβ˜•, Karibu Highway Cafe β€” mahali pa ladha halisi ya breakfast, lunch, dinner na BBQ! 🌿πŸ”₯

Pumzika, furahia mazingira na uonje ubora wetu. Tunakusubiri!

πŸ“Έ.purity

Eid Mubarak! βœ¨πŸŒ™Tunawatakia wateja wetu wote sikukuu njema yenye furaha, amani na baraka tele 🀍Karibu Highway Cafe tufura...
21/03/2026

Eid Mubarak! βœ¨πŸŒ™
Tunawatakia wateja wetu wote sikukuu njema yenye furaha, amani na baraka tele 🀍

Karibu Highway Cafe tufurahie pamoja vyakula vitamu, fresh na moto πŸ”₯

πŸ“ž Piga simu kuagiza: +255 760 879 229

Kisinia chetu maalum kimejaa kila kitu unachokipenda – nyama choma, mishkaki, wali, viazi, ndizi, samaki na matunda mata...
16/03/2026

Kisinia chetu maalum kimejaa kila kitu unachokipenda – nyama choma, mishkaki, wali, viazi, ndizi, samaki na matunda matamu.
Perfect kwa kula na marafiki au familia!
Usikose furaha ya kula pamoja hapa Highway Cafe.
Karibu ujipatie kisinia hiki kitamu leo! 🍽️✨

πŸ“ - Highway Cafe
πŸ“ž - 0760 879 229

KulaPamoja GrillAndChill RestaurantLife

Karibu kipindi cha Kwaresima πŸ™Ni muda wa tafakari, toba na upendo.Tunawatakia wateja wetu wote msimu wenye baraka tele β€”...
19/02/2026

Karibu kipindi cha Kwaresima πŸ™
Ni muda wa tafakari, toba na upendo.

Tunawatakia wateja wetu wote msimu wenye baraka tele β€” na tupo tayari kukuhudumia kwa vyakula fresh, moto na vitamu kila siku.

Pitia au agiza sasa kutoka Highway Cafe Ilula β˜•πŸ½οΈ
πŸ“ž +255 620 353 703

Ramadan Kareem πŸŒ™βœ¨Tunakutakia Ramadhani njema iliyojaa amani, baraka na furaha. Karibu ufurahie ladha halisi ya vyakula v...
19/02/2026

Ramadan Kareem πŸŒ™βœ¨

Tunakutakia Ramadhani njema iliyojaa amani, baraka na furaha. Karibu ufurahie ladha halisi ya vyakula vyetu vya moto na vitamu wakati wa iftar 🍽️

πŸ“ Highway Cafe Ilula
πŸ“ž +255 620 353 703

Address

Ilula
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Highway Cafe Ilula posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category