chums_oven

chums_oven Waokaji wa Keki (za kawaida na za sherehe), Biskuti, Cookies na Mikate. Tunatoa mafunzo ya mapishi n

Fresh kutoka chums_ovenKaribu
30/12/2025

Fresh kutoka chums_oven
Karibu

Chum's Oven mpango mzima 😋
24/03/2025

Chum's Oven mpango mzima 😋

Eid el fitr imekaribia, usipange kukosa Eid packages kutoka kwetu chums_oven (picha kwenye comments), tunashirikiana naw...
23/03/2025

Eid el fitr imekaribia, usipange kukosa Eid packages kutoka kwetu chums_oven (picha kwenye comments), tunashirikiana nawe kufurahia sikukuu na kuonyesha upendo kwa watu maalum uwapendao

Click button ya WhatsApp hapo kuweka oda yako sasa.

07/01/2025

Chum's Baking Classes - Season 2

Msisahau kuukaribisha ndugu zetu wengine wapate ujuzi... share link ili na wao wafaidike.
Sharing is caring...

23/12/2024
23/12/2024

Habari!
Karibu Chum's Baking Classes!

Unataka kujifunza ujuzi wa kipekee wa kuoka mikate, keki, cookies, na pastries? Jiunge na group letu ambapo utapata:
- Mafunzo ya hatua kwa hatua kwa wanaoanza na waliobobea.
- Miongozo ya malighafi, vifaa bora na mbinu za kisasa.
- Ushirikiano wa karibu na waokaji wengine.

Hii ni nafasi yako ya kuanza safari ya kuwa mtaalam wa uokaji kwa matumizi ya nyumbani au hata biashara!

*Jiunge sasa kupitia link hii:*
[Bonyeza hapa kujiunga](https://chat.whatsapp.com/GPEBSgMznN9CPYQPd7a8Oa)

Tunakusubiri ili tujifunze na kushirikiana maarifa pamoja! 🍞🎂

10/04/2024
Eid Mubarak from us.... Call or WhatsApp 0656842225
10/04/2024

Eid Mubarak from us....

Call or WhatsApp 0656842225

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when chums_oven posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share