Mwambao Refreshment Center

Mwambao Refreshment Center KARIBU MWAMBAO Umri wangu ni miaka 24, Ni mhasibu,mkulima na mjasiriamali.

Sababu ya kufungu ukurasa huu ni kuitangaza 'JUISI YA MIWA' k**a kinywaji bora zaidi ndani na nje ya bara la AFRICA.

Kwa niaba ya Uongozi wa Mwambao refreshment center tunapenda kutoa  pole kwa Watanzania wote kwa kumpoteza Mpambanaji/Ja...
18/03/2021

Kwa niaba ya Uongozi wa Mwambao refreshment center tunapenda kutoa pole kwa Watanzania wote kwa kumpoteza Mpambanaji/Jasiri/Mtekelezaji/Mwanamapinduzi - RAISI JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.

31/12/2020

Uongozi wa Mwambao unapenda kuwatakiwa wateja wake kheri ya mwaka mpya 2021.

Wateja wetu tegemeni marekebisho na maboresho makubwa kwenye huduma zetu mwaka 2021 kwani mwaka 2020 ulikuwa na changamoto nyingi sana Ila tuliweza kutoa huduma kadri tulivyojaliwa.

MWAMBAO REFORM 2021..

Juice ya muwa ni zaidi ya kiburudisho, Karibu tukuhudumie
31/01/2020

Juice ya muwa ni zaidi ya kiburudisho, Karibu tukuhudumie

09/09/2019

HONGERA TAIFA STARS
Kwa niaba ya uongozi wa Mwambao tunapenda kuwapongeza wachezaji wote wa taifa stars pamoja na uongozi mzima kwa kufanikisha kuingia katika hatua ya makundi.

Kwa kutambua mchango wa JUMA KASEJA goli tunapenda kumkaribisha Mwambao ajipatie lita 2 (Juice ya miwa-DAWA).

MWAMBAO - SAFISHA FIGO KWA JUISI YA MIWA.

Je wajua kuwa mchanganyiko wa Asali na Mdalasini unaweza kukusaidia katika mwili wako?kabla sijasema lolote embu niambie...
03/06/2019

Je wajua kuwa mchanganyiko wa Asali na Mdalasini unaweza kukusaidia katika mwili wako?
kabla sijasema lolote embu niambie faida ya Asali bila kuchanganya na Mdalasini.

Kabla sijawapa faida ya hiki kiungo, Tafadhali tuambie jina lake.
30/05/2019

Kabla sijawapa faida ya hiki kiungo, Tafadhali tuambie jina lake.

Najua wajua ila wacha nikujuze zaidi husu PILIPILI MANGA (black Pepper) hususani wakati huu wa Ramadhani ambapo watu wen...
27/05/2019

Najua wajua ila wacha nikujuze zaidi husu PILIPILI MANGA (black Pepper) hususani wakati huu wa Ramadhani ambapo watu wengi wamekuwa wakitengeneza uji wa iftari na kuweka Pilipili Manga.

1.Kwa mwanamke ambaye amejifungau humsaidia kutoa uchafu utakaokuwa upo kwenye kizazi ambao umebakia pia,
2.Humsaidia kutoshika mimba katika kipindi hicho ambacho analea mtoto wake mchanga.
3.Inazuia saratani hususan saratani ya matiti
4.Inatibu magongwa yatokanaoyo na bakteria k**a mafua,
5.Inasaidia kuboresha usagwaji wa chakula na kuongeza hamu ya kula.
6.Inasaidia kuimarisha afya ya meno hususan kuzuia kuoza kwa meno na pia inaondoa mikunjo katika ngozi.

Moja ya faida ya Juisi ya miwa ni husaidia kuimarisha mmeng'enyo wa chakula kutokana na  kiwango kikubwa cha madini ya p...
23/05/2019

Moja ya faida ya Juisi ya miwa ni husaidia kuimarisha mmeng'enyo wa chakula kutokana na kiwango kikubwa cha madini ya potassium ambayo husaidia kuimarisha mmeng'enyo wa chakula.
Pia juisi ya miwa husaidia kuzuia maambukizi katika tumbo na utumbo na husaidia katika kutibu matatizo ya choo kigumu au kitaalamu inaitwa "constipation".
KARIBU MWAMBAO UJIPATIE JUICE NZURI YA MIWA KWA AFYA YAKO.

Address

Shekilango Road [ Africa Sana], Near Hongera Bar/Opp: Duka La Spare [kwa Abdallah]
Dar Es Salam

Telephone

+255718371288

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwambao Refreshment Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to Mwambao Refreshment Center:

Share

Category