02/03/2025
TAMBUA UGONJWA WA GUMBORO
Ugonjwa huu huathiri kuku wadogo wenye umri kati ya wiki mbili hadi tatu
Na Vilevile ugonjwa huu husababishwa na kirusi kiitwacho "BIRNAVIRUS"
Virusi uingia kwa kuku au bandani kwa njia tofauti tofauti k**a..... WAHUDUMIAJI KUTOKUWA NA UTARARIBU SAHIHI, UPEPO UNAOINGIA MOJA KWA MOJA NDANI YA BANDA, KUKU WA KIENYEJI, BATA na NDEGE WA PORINI wanaopatikana eneo la karibu na banda au wanaoingia ndani ya banda
Husambazwa kati ya kuku na kuku wengine kwa njia ya kinyesi na uteute, wowote unaotoka mdomoni, puani au machoni..
Kirusi kinaweza kuishi kwa muda mrefu bandani k**a usafi kati ya batch moja kwenda nyingine autofanyika vyema na dawa sahihi..
DALILI
Kuku mgonjwa ulegeza mabawa na kushuka chini.. "KUVAA KOTI"
Kukosa nguvu na kusinzia akiwa amesimama au amekaa...
Manyoya kuvurugika na kusimama..
Vifo vingi ndani ya muda mfupi..
Kuharisha kinyesi cheupe...
Kuvuja kwa damu kwenye misuli ya kifua na mapaja...
Kuvimba kwa ini na nyongo kujaa...
TIBA
Wape kuku chanjo kwa wakati na chanjo sahihi...
Hakuna tiba ya moja kwa moja kwa kuku...
Zingatia taratibu na maelekezo ya wataalamu kuhusiana na chanjo
Zingatia maelekezo ya wataalamu kuhusiana na usafi pamoja afya ya kuku...
USHAURI
Usidharau dalili yeyote kwa kuku na kuona ni mazoea ya mara kwa mara....
KARIBU TUKUHUDUMIE
👉🏻Vifaranga vya Layers na Broiler
👉🏻Vyakula vya kuku wa nyama na mayai kwa bei za jumla
👉🏻Vifaa vya kuku k**a incubator, cages, na vingine vingi..
👉🏻Ushauri na maelekezo ya msingi katika kufuga kuku...
HUDUMA TUNAZOTOA:
1. Vifaranga vya Broiler &Layers
2. Vifaa vya kuku
3. Cage za kuku wa nyama na mayai
4. Mashine za kutotoleshea Vifaranga
5. Huduma ya ushauri na usimamizi wa miradi
Mawasiliano tupigie;
Phone; +255 714 151842
WhatsApp; +255 767922993