Khayrath Cake Point & Snacks

Khayrath Cake Point & Snacks Wedding cake, birthday etc

Kwa huduma nzuri ya cake zenye ladha ya kipekee karibu nikuhudumie.Goba Matosa 0713282236
24/11/2025

Kwa huduma nzuri ya cake zenye ladha ya kipekee karibu nikuhudumie.
Goba Matosa
0713282236

06/02/2025

Hi, Ofa kabambe kwa wale wanaohitaji kujifunza ujasiriamali, nitakua na darasa la live siku ya Jumamosi tarehe 8 na tarehe 9 mwezi wa pili, darasa litafanyika Goba-Matosa muda saa tatu asubuhi mpaka saa nane kamili mchana nitafundisha vitu vifuatavyo:
1. Cake kuoka na kupamba
2. Kutengeneza butter cream
3. Vileja
4. Tambi za dengu
5. Karanga za mayai
6. Crips za viazi
7. Crips za ndizi
8. Maandazi ya kuoka
9. Sconsi
10. Vikokoto/visheti
Vyote nafundisha kwa garama ya silingi elfu 30 tu.
0748 91 04 04 karibu ujifunze uweze kujiajiri.

Kwa wanaohitaji kufundishwa mapishi ya bites/Snacks aina mbali mbali,  kuoka cake  na kupamba nipo free kukufata popote ...
12/01/2025

Kwa wanaohitaji kufundishwa mapishi ya bites/Snacks aina mbali mbali, kuoka cake na kupamba nipo free kukufata popote hata ukihitaji nije mkoani nakuja, kwa wenye hoteli, vyuo vya mapishi na migahawa. Na kwa wale wanaohitaji wafanyakazi wao wafundishwe nipo tayari kutoa huduma ya mafunzo, gharama maelewano. Napatikana Goba-Matosa 0713 282 236

Kwa anaehitaji oven used deki moja trey mbili pamoja na mixer ya kubwa b20 vyote vinauzwa mil 2. Havina kipengele vyote ...
02/09/2024

Kwa anaehitaji oven used deki moja trey mbili pamoja na mixer ya kubwa b20 vyote vinauzwa mil 2. Havina kipengele vyote vizima atakae wapi atapata na ofa ya makopo madogo madogo ya kuanzia na makubwa baadhi karibu. Vyote vinapatika
Goba Matosa 0748 91 04 04

Hello, Karibu ujipatie box za aina mbali mbali kwa bei nzuriBei za  box nyeupe za cake8"80010"110012"130014"1700Box ya 1...
10/06/2024

Hello,
Karibu ujipatie box za aina mbali mbali kwa bei nzuri
Bei za box nyeupe za cake

8"800
10"1100
12"1300
14"1700
Box ya 10" urefu kwenda juu 8"1300
Box ya 12" urefu kwenda juu 8" 1500
Napatikana Kariakoo mtaa wa Lokoma. 0713 282 236

Hello, nauza carton box machine na die cutting machine zote ni used zinapatika Kariakoo mtaa wa Likoma.0748 91 04 04
15/04/2024

Hello, nauza carton box machine na die cutting machine zote ni used zinapatika Kariakoo mtaa wa Likoma.
0748 91 04 04

Karibu ujipatie biscuits zenye ladha nzuri ya kipekee, packet zinakaa pcs 10 kwa sh 1000, pia ukitaka darasa karibu0748 ...
29/09/2023

Karibu ujipatie biscuits zenye ladha nzuri ya kipekee, packet zinakaa pcs 10 kwa sh 1000, pia ukitaka darasa karibu
0748 91 04 04

Karibu cake nzuri, tamu zenye ladha ya kipekee.0748 91 04 04Kimara Matosa
28/09/2023

Karibu cake nzuri, tamu zenye ladha ya kipekee.
0748 91 04 04
Kimara Matosa

Usipange kukosa darasa hili lenye offers kambambe.
25/09/2023

Usipange kukosa darasa hili lenye offers kambambe.

Address

Goba Matosa
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255713282236

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Khayrath Cake Point & Snacks posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share