Redgold

Redgold RedGold ni bidhaa zinazotengenezwa na Darsh Industries Tanzania. Tuna bidhaa nyingi zikiwemo Tomato Sauce, Chilli Sauce, Jams, Juice na Ketchup.

Eid Mubarak! Tunakutakia wewe na familia yako Eidi yenye furaha, amani na baraka tele. 💚
27/05/2026

Eid Mubarak! Tunakutakia wewe na familia yako Eidi yenye furaha, amani na baraka tele. 💚

Pamoja tunachapa kazi, pamoja tunasonga mbele 💪🇹🇿Tunawatakia mapumziko mema ya May Mosi!
01/05/2026

Pamoja tunachapa kazi, pamoja tunasonga mbele 💪🇹🇿
Tunawatakia mapumziko mema ya May Mosi!

Heri ya Siku ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿✨Umoja wetu ndio nguvu yetu ❤️Pamoja tunaendelea.
26/04/2026

Heri ya Siku ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿✨

Umoja wetu ndio nguvu yetu ❤️
Pamoja tunaendelea.

Vibe la beach, chakula safi na marafiki wa ukweli.
21/04/2026

Vibe la beach, chakula safi na marafiki wa ukweli.

Ongeza thamani ya chakula chako kwa mayonnaise creamy, chaguo sahihi kwa ladha bora.
18/04/2026

Ongeza thamani ya chakula chako kwa mayonnaise creamy, chaguo sahihi kwa ladha bora.

Kila tone la RedGold linaanzia shambani. 🍅 Tunatumia nyanya bora na asilia kukupa ladha ya kweli ya nyumbani inayofanya ...
11/04/2026

Kila tone la RedGold linaanzia shambani. 🍅
Tunatumia nyanya bora na asilia kukupa ladha ya kweli ya nyumbani inayofanya kila mlo kuwa maalum. Chagua ubora, chagua
RedGold.

Heri ya Pasaka kutoka familia ya RedGold! ❤️🌼Furahia kila wakati wa pamoja na ladha bora mezani kwako.Meza moja, familia...
05/04/2026

Heri ya Pasaka kutoka familia ya RedGold! ❤️🌼
Furahia kila wakati wa pamoja na ladha bora mezani kwako.

Meza moja, familia moja ♥️

Eid Mubarak! 🌙 Tunawatakia heri, amani na baraka tele katika sikukuu hii takatifu ya Eid. Mwenyezi Mungu akubali swaumu ...
21/03/2026

Eid Mubarak! 🌙 Tunawatakia heri, amani na baraka tele katika sikukuu hii takatifu ya Eid. Mwenyezi Mungu akubali swaumu zenu na azidi kuijalia familia yenu furaha na mafanikio. ✨💛⭐️

🌙 Upendo hukutanishwa mezani.Njoo ufurahie Iftaar tamu pamoja na familia na marafiki huku ukiongeza ladha mezani kwa bid...
11/03/2026

🌙 Upendo hukutanishwa mezani.

Njoo ufurahie Iftaar tamu pamoja na familia na marafiki huku ukiongeza ladha mezani kwa bidhaa za Redgold.

📍 Adam’s Restaurant – City Centre
📍 Adam’s Restaurant – Mikocheni
⏰ 6:30 PM - 9:30 PM

Tag familia au rafiki ambaye ungependa kushiriki naye Iftaar hapa 👇

TuwePamoja

‼️TAARIFA RASMI KUTOKA REDGOLD‼️Tumebaini kuwepo kwa matangazo ya ajira ya uongo yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijam...
10/03/2026

‼️TAARIFA RASMI KUTOKA REDGOLD‼️

Tumebaini kuwepo kwa matangazo ya ajira ya uongo yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na watu wasio waaminifu wakitumia nembo (logo) na jina la kampuni yetu ya RedGold ili kutapeli wananchi.

Kampuni ya RedGold inapenda kuufahamisha umma kuwa haina uhusiano wowote na matangazo hayo, na haijatoa nafasi za kazi kupitia njia ambazo si rasmi.

Tunawasihi wananchi kuwa makini na kupuuza ujumbe wowote wa ajira unaoomba malipo au unaotoka kwenye vyanzo visivyo rasmi.

Tunaendelea kufuatilia suala hili ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa dhidi ya wahusika.

Asanteni kwa uelewa na kwa kuendelea kutuunga mkono.

RedGold Team, Darsh Industries Limited

Address

Vingunguti
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Redgold posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to Redgold:

Share