Frisha ARENA

Frisha ARENA Get your hair cut and dressed,your nails shaped and nourished,your car washed and repaired WHILE you EAT,DRINK AND GET ENTERTAINED.

Frisha Arena Pub ya kisasa,iliyosheheni burudani nyingi zinazopendwa na vijana ,watu wa makamo pamoja na wazee kwa kiasi chake.Wahudumu waliopo ni Bomba na wenye Ustaarabu wa kutosha sana.Kwetu sisi mteja ni Rafiki yetu wa karibu sana.Karibu sana ULE BATA za kutosha,upate msosi wa uhakika,Muziki kwa mtindo wa DVJ unapigwa kila weekend kuanzia Alhamisi mpaka Jumapili.Mipira yote ya Ligi zote kuanzi

a VPL,LA LIGA,BUNDESLIGA,SERIE A,B bila kusahau LIGUE1 na mashindano mengine makubwa ya kimichezo na muziki huonyeshwa live kwenye luninga zetu Sita pamoja na screen kubwa tunayoonyesha kwa kutumia Projector.Karibu sana MDAU WETU,MSHKAJI WETU WA UKWELI.

17/03/2017
Mandhari nzuri na ya kuvutia utaipata Frisha Arena pekeeKiwanja cha watu wastaarabuKaribuni sana
15/03/2017

Mandhari nzuri na ya kuvutia utaipata Frisha Arena pekee
Kiwanja cha watu wastaarabu
Karibuni sana

Leo furaha day, Mapacha watatu live watakuwepo kutoa burudaniKiingilio free
10/03/2017

Leo furaha day, Mapacha watatu live watakuwepo kutoa burudani
Kiingilio free

Save the date
09/03/2017

Save the date

09/03/2017

Frisha Arena classy place to be kila week inaprovide venue for the birthday parties maeneo yake.inachukua jukumu kuprovide cakes and champaigne k**a sign ya gratitude to have them here
So every month we take care of our customers
info inatakiwa one week earlier
karibu frisha arena

info : 0683157889
call for bookings
We celebrate with you!!

Karibuni wadau wa Frisha Arena tusherehekee siku ya wanawake dunia kwa burudani ya muziki, misosi, bila kusahau cocktail...
08/03/2017

Karibuni wadau wa Frisha Arena tusherehekee siku ya wanawake dunia kwa burudani ya muziki, misosi, bila kusahau cocktail na kila aina ya vinywaji

Josee Mara jukwaani
03/03/2017

Josee Mara jukwaani

Kesho Jumamosi k**a poster linavyojielezeaBila kusahau Tuna vinywaji aina zote, Vyakula kila aina, Parking na ulinzi wa ...
03/03/2017

Kesho Jumamosi k**a poster linavyojielezea
Bila kusahau Tuna vinywaji aina zote, Vyakula kila aina, Parking na ulinzi wa uhakika
Huduma zetu hazina mpinzani kwa ubora

Karibuni kiwanja cha wastaarabu tuburudike

Bamba to Bamba yaani burudani juu ya burudaniJosee Mara na Mapacha watatu ndani ya Frisha ARENA, Kiwanja cha burudani ch...
02/03/2017

Bamba to Bamba yaani burudani juu ya burudani
Josee Mara na Mapacha watatu ndani ya Frisha ARENA, Kiwanja cha burudani cha wastaaarabu
Pata muziki mzuri, vinywaji aina zote, Misosi na madikodiko
Bila kusahau huduma zetu ni za kiwango cha juu na kuridhisha

Mnakaribishwa sana

Wadau wa Frisha Arena baada ya kimya cha muda na maandalizi ya kuhamia KinyereziKwa moyo mkunjufu kabisa tunapenda kuwat...
16/02/2017

Wadau wa Frisha Arena baada ya kimya cha muda na maandalizi ya kuhamia Kinyerezi
Kwa moyo mkunjufu kabisa tunapenda kuwataarifu kwamba mnamo tarehe 18 mwezi huu wa pili kutakua na ufunguzi rasmi wa Frisha Arena Kinyerezi huku tukisindikizwa na mfalme wa masauti Tz Christian Bella

Huduma zetu zimeboreshwa maradufu, misosi ya nguvu, vinywaji kila aina, parking ya kumwaga, ulinzi k**a kawaida yetu

Unaanzaje kukosa sasa kwamfano
Save the date

Address

Tabata Chang'ombe
Dar Es Salaam
BOX1983

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Frisha ARENA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to Frisha ARENA:

Share

Category