General Poultry Tanzania

General Poultry Tanzania we deal with poultry and nutrition.we make sure u get a good service with us.

vifaranga aina zote na vyakula vya mifugo.
providing chicks and feeds. ��

17/01/2025
03/03/2024
VITAMIN BORA KABISA KWA MIFUGO YAKO.inaongeza nyama nyingi,mayai mengi,na kusaidia afya kiujumla utaipata kwetu kwa juml...
08/01/2024

VITAMIN BORA KABISA KWA MIFUGO YAKO.inaongeza nyama nyingi,mayai mengi,na kusaidia afya kiujumla utaipata kwetu kwa jumla na rejereja karibun sana
Unaweza jiunga na group letu hapo chini
https://chat.whatsapp.com/DkllNpftV2r5LXuABJxg0w

*ADVICE*🐓[Antiviral]Ni kinga asilia inayotumika kwenye maji na  kwa aina zote za kuku. Its formulated with natural extra...
09/10/2023

*ADVICE*🐓[Antiviral]
Ni kinga asilia inayotumika kwenye maji na kwa aina zote za kuku.
Its formulated with natural extracts (cinnamon,garlic,Echinacea,astargalus,aloe vera,citric)plus lectin and amantadine
*ADVICE*💉 INATUMIKA👇
🔋Kuongeza kinga kwa mifugo yako (overall body immunity)
🦍Kuongeza ukuaji mzuri wa mifugo yako.
⚙️Kuboresha Afya kiujumla
Kurahisisha mmengenyo wa chakula
🦠Inakinga virus wote *NEWCASTLE* DISEASE(ID),Infenctions and bronchitis(IB)
*NB.No side Effect*
Ujazo 1ltrs. ½ltrs.250ltrs.100mls.
📞Distributor
0655807021.Dsm

07/09/2023

Maafisa kutoka Mamlaka ya Dawa Uganda (NDA) wamekiri kuficha taarifa kuhusu baadhi ya wakulima wanaochanganya dawa za kufubaza virusi vya ukimwi na vyakula vya mifugo na kuku ili kukuza ukuaji wao.

Je ulikuwa unafahamu hili? nini maoni yakokuhusu vitendo hivi?

GOD freedom..
15/07/2023

GOD freedom..

moja ya shamba letu..linanufaika na huduma zetu bora na vifaranga kiujumla..VIFARANGA VINAPATIKANA KILA WEEK weka order ...
22/12/2022

moja ya shamba letu..linanufaika na huduma zetu bora na vifaranga kiujumla..VIFARANGA VINAPATIKANA KILA WEEK weka order yako sasa.usimamiz wa mashamba na vifaa vya mabandani ushaur utapata kwetu General Poultry Tanzania

Tunaendelea kukujali wew mteja wetu wa thamani sana kwetu. vifaranga BROILERS wapo kila week press order yako mapema.Pia...
01/09/2022

Tunaendelea kukujali wew mteja wetu wa thamani sana kwetu. vifaranga BROILERS wapo kila week press order yako mapema.Pia CHOTARA vifaranga wenye chanjo tayar wapo.NA KUBWA zaidi ni tunauza mayai ya KUTOTOLESHA ya kienyeji pure na CHOTARA F1.tupo Dar es salaam Na Arusha.cont 0655807021.
BROILERS TZS 2200
CHOTARA TZS 1500
MAYAI TREY TZS 15,000.
LAYERS TZS 2600.

Kazi zetu ni1. kuhakikisha unapata kifaranga chenye ubora mzuri hutasumbuliwa na changamoto za ovyo bandani.2.usimamizi ...
09/07/2022

Kazi zetu ni1. kuhakikisha unapata kifaranga chenye ubora mzuri hutasumbuliwa na changamoto za ovyo bandani.
2.usimamizi wa mabanda na eneo lako kukupa full support madawa,chakula n.k
3.pata kifaranga 🐣kutoka kwetu na huduma zengine tutakupa full service free na melekezo.
Tunafanya consultation ya maeneo kwa mifugo na kilimo.
Tupo dar es salaam,Arusha
0655807021.
@2100.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255655807021

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when General Poultry Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to General Poultry Tanzania:

Share

Category