19/04/2024
Dagaaa(NyamaNono) toka ziwa victoria ambao Tayari wameshakaangwa, wamewekwa Viungo na kila kitu.Wana Radha na Harufu nzuri.
Ukila Dagaa hawa unapata Faida hizi
1 Unapata Vitamini B12
2 Unaenda kuimarisha Mifupa yako na kuondoa matatizo ya Magoti
3 Unaenda Kuongeza uwezo wako wa kumbukumbu.
Bei za Dagaa Hawa kwa RejaReja ni:
3,000/-
5,000/-
Sado 27,000/-
Mawasiliano Tupigie sasa hivi
☎️0712 991 105
NAPATIKANA
📍BUZA CHAMA