CHIPS TAKE AWAY

CHIPS TAKE AWAY we’re available in Dar es salaam tanzania

19/03/2026

NJOO UJIPATIE ZAGA MIX🍟 KWA BIE CHEE
DELIVERY IPO 🛵
ORDER NOW🙏

19/01/2026
04/01/2026

Thanks you for 1 k followers 🙏

K**A ULIWAHI KUTUKANWA NA MWALIMU WAKO CHUKUA HII.Dr Myles aliwahi kusema " you're not  an accident " yaani wewe siyo aj...
06/09/2024

K**A ULIWAHI KUTUKANWA NA MWALIMU WAKO CHUKUA HII.

Dr Myles aliwahi kusema " you're not an accident " yaani wewe siyo ajali.

Lakini mifumo yetu ya shule wakati fulani imeshindwa kutukumbusha kwamba sisi siyo zao la bahati mbaya hapa Duniani.

Niliwahi kusema hakuna aliyezaliwa K**a bahati mbaya hapa Duniani.

Kila mmoja ana kitu ambacho Dunia inapaswa kunufaika nacho .

Kila mmoja ana uwezo ambao ukitumiwa basi Dunia itakuwa pahala salama pa kuwepo.

Siyo kila mmoja atagundua uwezo ulionao , na haitakuwa rahisi wakati Fulani lakini ni muhimu kuanza kutafuta wewe ni nani.

Thomas Edison ambaye ndiye aligundua taa tunazofurahia mwanga wake hivi leo aliwahi kutukanwa na Mwalimu wake wa kwanza kwa kuambiwa ;

"Addled " yaani mtu aliyechaganyikiwa.

Sikia ,Kuna nyakati watu wanaweza wasikuelewe unakokwenda wala unachofanya usiache kufanya endelea kufanya bila kuchoka.

Thomas Edison aliendelea na mission zake mpaka Leo hii tunafurahia matunda yake, imagine K**a jamaa angekata tamaa ati kwasababu ameambiwa ni K**a amechanganyikiwa.

Edison hata shule hakumaliza lakini akawa ni mmoja ya wavumbuzi wakubwa Duniani.

Mtu yeyote asiamue hatima yako , wewe unapaswa kuamua hatima yako ya kuishi.

Watu wakisema huwezi usianze kubishana nao wewe fanyia kazi kile ambacho wamesema huwezi kilete matokeo.

You're not an accident - Dr Mlyes


Success &
Grow rich.

Habari wapendwa tumekuwa kimya kutokana na maboresho ya office na marekebisho ya bidhaa kwaiyo tunaomba radhi kwa usumbu...
28/05/2023

Habari wapendwa tumekuwa kimya kutokana na maboresho ya office na marekebisho ya bidhaa kwaiyo tunaomba radhi kwa usumbufu ulio jitokeza kwa kukosa huduma zetu

04/03/2023

Entrepreneurs are allowed in the market and stick to the opportunity 🙏

Ndinyo brand  Inawatakia heri sikukuu ya wapendanao💥💜♥️ Mpe zawad za kuvutia na kumpendeza mtu umpendae ✨ Kwa bidhaa zet...
11/02/2022

Ndinyo brand Inawatakia heri sikukuu ya wapendanao💥💜♥️
Mpe zawad za kuvutia na kumpendeza mtu umpendae ✨
Kwa bidhaa zetu Bora na zenye uaminifu mkubwa Kwa wale wa delivery🚚
Zinapatikan kwetu🙏

Ndugu Ndinyo brand tunasema ASANTE kwa kuwa sehemu ya familia yetu 2021, endelea kuwa nasi 2022. Tunakutakia Heri ya Mwa...
01/01/2022

Ndugu Ndinyo brand tunasema ASANTE kwa kuwa sehemu ya familia yetu 2021, endelea kuwa nasi 2022. Tunakutakia Heri ya Mwaka Mpya.

Address

Available In Every Where Dar Es Salaam Tanzania With Delivery
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 11:00 - 23:59
Tuesday 11:00 - 23:59
Thursday 11:00 - 23:59
Friday 11:00 - 23:59
Saturday 11:00 - 23:59
Sunday 11:00 - 23:59

Telephone

+255679861612

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CHIPS TAKE AWAY posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share