18/06/2023
Tangu Jumamosi ya jana Asubuhi eneo kubwa la Mbagala, Kijichi, Kigamboni, Mwandege, Kibada, Toangoma, Kongowe, Mkuranga, Kibiti, Ikwiriri nk
Leo ni Jpili na Sasa hivi ni Saa 1 usiku.
Unaweza kufikiri Jiji la Dsm na viunga vyake mahsusi zaidi ya hivyo halina umeme Kwa Masaa Yote hayo AND NO BODY CARES