Modambatz

Modambatz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Modambatz, Restaurant, mbezi goba, Dar es Salaam.

⚽ FINAL YA KESHO IPO HAPA! πŸ”₯Usikose kushuhudia pambano la fainali kwenye screen kubwa ndani ya Modamba . Karibu uungane ...
18/07/2026

⚽ FINAL YA KESHO IPO HAPA! πŸ”₯
Usikose kushuhudia pambano la fainali kwenye screen kubwa ndani ya Modamba . Karibu uungane nasi kushangilia kila dakika ya mchezo! πŸ†πŸ™Œ

Finally she said yesπŸ’πŸ’
11/07/2026

Finally she said yesπŸ’πŸ’

09/07/2026

Karibu Modamba Social Hall!

Unatafuta ukumbi wa kisasa na wenye mazingira mazuri kwa tukio lako? Modamba Social Hall ndiyo chaguo sahihi!

πŸ’ Harusi
πŸ’ Send-Off
πŸŽ‚ Birthday Party
πŸ‘Ά Baby Shower
πŸŽ“ Graduation
🏒 Mikutano na Semina
πŸŽ‰ Na matukio mengine yote ya kifamilia na kijamii.

Tunawakaribisha kwa huduma bora, mazingira safi na ya kuvutia, pamoja na nafasi inayofaa kufanya siku yako iwe ya kipekee na isiyosahaulika.

πŸ“ž Wasiliana nasi leo kuweka nafasi mapema. +255 752 272 107

Modamba Social Hall – Kila Tukio Lina Thamani, Kila Mgeni Anakaribishwa! ❀️

09/07/2026

HekaHeka za Modamba πŸ˜‚

✨ Karibu Modamba Social Hall! ✨

Unatafuta ukumbi wa kisasa na wenye mazingira mazuri kwa tukio lako? Modamba Social Hall ndiyo chaguo sahihi!

πŸ’ Harusi
πŸ’ Send-Off
πŸŽ‚ Birthday Party
πŸ‘Ά Baby Shower
πŸŽ“ Graduation
🏒 Mikutano na Semina
πŸŽ‰ Na matukio mengine yote ya kifamilia na kijamii.

Tunawakaribisha kwa huduma bora, mazingira safi na ya kuvutia, pamoja na nafasi inayofaa kufanya siku yako iwe ya kipekee na isiyosahaulika.

πŸ“ž Wasiliana nasi leo kuweka nafasi mapema.

Modamba Social Hall – Kila Tukio Lina Thamani, Kila Mgeni Anakaribishwa! ❀️

29/06/2026

Modamba Social Hall iling’ara kwa shangwe na upendo. Hongera kwa maharusi! πŸ’πŸ€

27/06/2026

Asante kwa kuchagua Modamba Social Hall kuwa sehemu ya kusherehekea siku yenu ya kipekee. Tunawatakia ndoa yenye upendo, amani na baraka tele. πŸ₯‚πŸ’

23/06/2026
18/06/2026

Karibu Modamba Social Hall, mahali ambapo ndoto zako za sherehe zinageuzwa kuwa uhalisia kupitia mapambo ya kuvutia na mazingira ya kifahari. πŸŒΈπŸ’«

Weka nafasi yako leo kwa harusi, send-off, birthday, graduation au tukio lolote maalum.

BeautifulDecor ReelsTanzania

Karibu Modamba Social Hall ambapo kila tukio hupata mwonekano wa kipekee na wa kukumbukwa. πŸŒΈπŸ’«Wasiliana nasi leo kwa ajil...
17/06/2026

Karibu Modamba Social Hall ambapo kila tukio hupata mwonekano wa kipekee na wa kukumbukwa. πŸŒΈπŸ’«

Wasiliana nasi leo kwa ajili ya harusi, sherehe za kuzaliwa, mahafali na matukio mengine maalum.

Asanteni kwa kutuchagua! πŸ’• Modamba Social Hall tumefurahi  kuwa sehemu ya safari yenu ya upendo. πŸ’βœ¨
14/06/2026

Asanteni kwa kutuchagua! πŸ’• Modamba Social Hall tumefurahi kuwa sehemu ya safari yenu ya upendo. πŸ’βœ¨

Address

Mbezi Goba
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Modambatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category