17/11/2024
KINGA NI BORA KULIKO TIBA: MATUMIZI YA SEAMOSS KILA SIKU YATAKUSAIDIA KATIKA HAYA.
1. Mwani una madini ya potasiamu, madini muhimu katika kushusha na kudhibiti shinikizo la juu la damu.(HBP)
2. Mwani unalainisha njia ya mfumo wa chakula, kuwezesha mmeng'enyo sahihi wa chakula, kusafisha utumbo na kutibu na kuzia vidonda vya tumbo.
3. Na linapokuja suala la kisukari, fucoxanthin katika mwani husaidia sana kuweka sawa kiwango cha sukari. Kumbuka upungufu wa magnesiamu unaweza kusababisha kisukari, na vyakula vingi havina au vina kiwango kidogo tu, mwani una kiwango kikubwa cha magnesium.
4. Huko kwenye mitandao siku hizi kila mtu anazungumzia kuhusu madini ya Zinc kwa faida ya mwanaume. (Kuwahi na udhaifu wa mashine; mwani ndio suluhisho)
5. Kuhusu uzito na kitambi; mwani una (fibers) nyuzi nyuzi ambazo zinakufanya ujihisi umeshiba ila pia una "calories" kidogo sana.
6. Mwani Kutuliza maumivu ya viungo na mifupa sababu ina viwango vya madini vya "Calcium"
7. Pia Mwani ni chakula cha alkali(soma chapisho letu la nyuma) chakula muhimu katika kuzalisha kinga ya mwili.
8. Mwani huondoa sumu mwilini.
9. Mwani kuondoa au kupunguza uvimbe mwilini.
10. Huimarisha afya ya ngozi na kutibu matatizo ya ngozi.
11. Una asidi amino muhimu kwa ukuaji wa mwilini.
12. Ni "energy food" asilia.
13. Kuboresha afya ya ubongo na utendaji wake.
14. Kutatua tatizo la "hormonal imbalance"
15. Inapunguza/kuondoa maumivu ya koo na kikohozi.
16. Kusaidia kuwa na mtitiriko mzuri wa damu.
17. Dawa ya mafua sugu na "allergy" ya vumbi(mafua).
18. Kinga dhidi ya kansa
19. Huboresha afya ya figo.
20. Huimarisha afya ya akili, kupunguza wasiwasi, mawazo na unyogovu (depression).
21. Hudhibiti viwango vya asidi tumboni ( acid reflux).
22. Kurekebisha tishu zilizoharibika.
23. Kuponya vidonda na kuondoa makovu na madoadoa mwilini.
24. Mwani una madini ya chuma husaidia kupunguza tatizo la upungufu wa damu.
24. Inasaidia katika ukuaji wa kucha.
25. Kudhibiti au kupunguza maumbikizi ya mara kwa mara ya njia ya mkojo.
26. Kuimarisha utendaji wa ini.
27. Hupunguza mafuta mwilini.
29. Kutatua tatizo la ukosefu wa usingizi ( Insomnia)
30. Huimarisha afya ya macho.
31. Huleta hamu ya tendo kwa akina mama
"SEAMOSS IS THE BEST IN THE EARTH" - Dr.Sebi.
"ONE OF THE MOST POWERFUL PLANTS AND HIGHEST MINERAL DENSE SUPER FOODS
ON THE ENTIRE PLANET"
UNAPATIKANA TEMEK 0655022226