Geez Grill

Geez Grill A Nice place for Grilled Food Pork Ribs I Porkchops (Chopee) I Chicken Wings I Drumsticks I U We can come and Grill at your place Contact us for Details

03/05/2026

introdusing our new Menu Beef Saparo (T-born inayokuwa served na Potato Wedges, Ndizi mzuzu au Marshed Potatoes pamoja na Avo Salad.

Hii kitu ni balaa ukionja utataka tena.

0626262664 au 0746262664
Tupo Kigamboni kwa Mwingira Jirani na Malaika Beach.
Karibuni sana.

04/04/2026

Acha vyoooote huyu Sangara Choma anachomwa Slow cooking amepigwa marination flani hivi ka ndimu kwa mbaaaaali.

Hii ni ya watu 10 hadi 12 wanakula vyedi kabisa.
Tupo Kigamboni kwa Mwingira karibu na Malaika Beach 0626262664 Omba Menu

20/03/2026

Karibu sana kuwa *Kisinia cha watu 6 hadi watu 7 ni 120,000/= Kina:-*
* Pilau
* Wali Mweupe
* Chipsi
* Potato Wedges
* Ndizi Mzuzu
* Mbuzi Mguu
* Kuku Robo 6pcs
* Samaku Choma Mkubwa
* Sausage Choma 4
* Salad na Tunda la Siku

*Cha Watu 10 hadi 14 ni 190,000/=*
kina :-
* Pilau
* Wali Mweupe
* Chipsi
* Potato Wedges
* Ndizi Mzuzu
* Robo Mbuzi (Mguu na Mkono)
* Kuku Robo 10pcs (Wawili na Nusu)
* Samaku Choma Mkubwa
* Sausage Choma Kubwa 8
* Salad na Tunda la Siku

0626262664 Karibuni Sana

18/03/2026

Eid Hiyoo hili ni cha Watu 10 hadi 12, ndani yake kina Kuku 3, Kina Samaki Choma, Sausages choma 8, Kina Robo Mbuzi, kina Chipsi, Kina Salad, kina Pilau, Kina Chipsi, Potato Wedges na Kina Ndizi na Salad kwa 185,000/= tu

Our New Menu
07/03/2026

Our New Menu

07/03/2026

K**a hii ni 175,000 ni ya watu 12 hii ina Robo Mbuzi, Kuku watatu, sausage 8, ina Samaki choma mkubwa, ina Chipsi, Potato Wedges na Salad na Matunda kwa 175,000 watu 12 wanakula na kushiba.

22/01/2026

Hii ni Portion ya watu 10 hadi 12 ina Robo ya Mbuzi, Kuku 3, Samaki mkubwa wa Kuchoma, Sausages 8, Chipsi, Potato Wedges na Salads kwa 175k tu.

Tupo Kigamboni kwa Mwingira 0626262664

08/01/2026

Hii Portion kwa Watu wako 12 wanakula fresh kabisa kwa 175,000/= tu mkipiga donee ya 10 kila mtu taita mmoja akajazia imeisha hii.

0626262664 Karibuni Geez Grill tuko Kigamboni kwa Mwingira

31/12/2025

Baada ya kuwahudumia Christmass leo ni zamu ya Geez Staff kuonja kile tunachowalisha 😀😀😀

31/12/2025

Baada ya kuwahudumia Cheistimas hadi Boxing Day na sisi tumepata wasaa wa kusherehekea na staff wenzangu za Geez Grill 🫡

Karibuni sana

Address

Kwa Mwingira Bomba La Mafuta Road
Dar Es Salaam
15110

Opening Hours

Tuesday 10:00 - 22:00
Wednesday 10:00 - 22:00
Thursday 10:00 - 22:00
Friday 10:00 - 22:00
Saturday 10:00 - 22:00
Sunday 10:00 - 22:00

Telephone

+255626262664

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Geez Grill posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to Geez Grill:

Share

Category