The Base

The Base Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The Base, Restaurant, makumbusho, Dar es Salaam.

22/12/2020

Vibe la XMASS kutoka kwa Head of DJs hapa | Wa kuitwa
๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ

Save the date: 25th DEC / This Friday ๐Ÿ’ฅ

Christmas ndio hii hapaaaa ๐ŸŽ„ Sasa, usikubali vibe lako ya kufungua MWAKA lipoe...Na kwa kutambua thamani ya vibe la ujaz...
22/12/2020

Christmas ndio hii hapaaaa ๐ŸŽ„
Sasa, usikubali vibe lako ya kufungua MWAKA lipoe...
Na kwa kutambua thamani ya vibe la ujazo ambalo k**a mteja wetu hutakiwi kulikosa imekuletea

Burudani ya maana sana kutoka kwa bests DJs na huku ukila bata kwa vinywaji na vyakula vitamu ๐Ÿ˜‹ kwa bei ya kufungia mwaka ๐Ÿ˜Š

Mlangoni utaacha 10,000/- tu ๐Ÿ’ฐ k**a kiingilio chako

Location: Millenium Towers II - Makumbusho
_

Watoto wa Magomeni, Sinza, Kinondoni, Makumbusho, Ilala, Kariakoo na maeneo yooote ya jiji la Dar es Salaaam tukutane   ...
21/12/2020

Watoto wa Magomeni, Sinza, Kinondoni, Makumbusho, Ilala, Kariakoo na maeneo yooote ya jiji la Dar es Salaaam tukutane
Jumatano hii ya tarehe 23 Dec. kuanzia saa 3 usiku ๐Ÿ”ฅ kwenye ikisimamiwa na huku akipewa nguvu ya Burudani toka kwa KibaokataOg naย  sonara wa maneno
_
Entrance Damege๐Ÿ’ธ
10,000/= cash

_

Watoto wazuri ๐Ÿ’ƒ๐Ÿพ wote chimbo lao ni moja tu... Ukiwauliza watakuwambia   maana ndio only spot ambayo ukipiga picha zinak...
11/12/2020

Watoto wazuri ๐Ÿ’ƒ๐Ÿพ wote chimbo lao ni moja tu... Ukiwauliza watakuwambia maana ndio only spot ambayo ukipiga picha zinakubali zenyewe... ๐Ÿ˜Š Yaani zinawakaaaa sana ๐Ÿ”ฅ

Asante sana pamoja na kwa kuja... ๐Ÿ”ฅ

11/12/2020

BATA BATANI ๐Ÿ”ฅ
K**a kawaida, mizuka yetu ya kuimaliza week inaanzaga Ijumaa ๐Ÿ’ฅ

Na Ijumaa ya leo tuko na wakali wa hizi kazi kutoka IFM... Wametunza fedha za kutosha kabisa ๐Ÿ’ฐ kuja kukiamsha badae hapa wakiwa na the guest DJ professa mwenyewe... Wa kuitwa

Pisi za IFM mnazijua nyie??? ๐Ÿ’ƒ๐Ÿพ ๐Ÿ˜‚

Sasa badae kuanzia saa 3 kamili usiku sogea mitaa ya MILLENIUM TOWER II - Makumbusho ukiwa na 10,000/- mfukoni utakayoiacha mlangoni, lakini kwa jeuri ya pesa ya wanaIFM tumewawekea na meza za watu 8 mtakazozimiliki kwa Tshs 250,000/- tu huku mkipatiwa na free drinks + misosi for free ๐Ÿ˜‹

That feeling you get when you heard  is on the deck ๐Ÿ’ฟ IFM you REAAADDDDYYYY for this???? ๐Ÿ’ฅ
11/12/2020

That feeling you get when you heard is on the deck ๐Ÿ’ฟ

IFM you REAAADDDDYYYY for this???? ๐Ÿ’ฅ

10/12/2020

Likitajwa jina la haina hata haja ya kujieleza sana... Najua mnaelewa akili zake ๐Ÿคฏ Sasa, imagine Alhamis ya leo hata weekend haijakomaa anarudi tena kukiamsha hapa hapa mjengoni

Hii ni special edition kwa graduates... Tunaiita โ€œUDSM GRADUATION After Partyโ€

Yani baada ya kuhitimu, haulazi damu tunaibuka kukiwasha huku tukiwa na team ya .lab kwenye

Kwenye 1 & 2 atasimama ๐ŸŽถ

Mlangoni utaiacha 10,000/- tu, kuanzia saa 3 usiku na kuendelea... Donโ€™t miss out!
_
Location: MILLENIUM TOWER II ~ Makumbusho
_

Wanasema mbona hampokei simu!!??? Tunawaambia โ€œTUKO BUSYโ€... ๐Ÿ”ฅ Tuko busy tukihakikisha wateja wetu wanapata burudani wal...
09/12/2020

Wanasema mbona hampokei simu!!??? Tunawaambia โ€œTUKO BUSYโ€... ๐Ÿ”ฅ
Tuko busy tukihakikisha wateja wetu wanapata burudani waliokuwa wakiikosa kwa muda mrefu, yani tunabandika na kubandua ๐Ÿ’ฅ
Guess what? ๐Ÿค” โ€œLe Professorโ€ huyu hapaaaaa, anakuja kuichachua Ijumaa hii hapa kwenye ya wana IFM

Ni kuanzia time โฐ ya saa 3 usiku mpaka tubebane, kwa mtonyo wa 10,000/-
Hii haijirudii, kwahivyo usipange kuikosa ๐Ÿ”ฅ

BACK TO BACK ๐Ÿ”ฅ Likitajwa jina la  haina hata haja ya kujieleza sana... Najua mnaelewa akili zake ๐Ÿคฏ Sasa, imagine Alhamis...
08/12/2020

BACK TO BACK ๐Ÿ”ฅ
Likitajwa jina la haina hata haja ya kujieleza sana... Najua mnaelewa akili zake ๐Ÿคฏ Sasa, imagine Alhamis hii hata weekend haijakomaa anarudi tena kukiamsha hapa hapa mjengoni

Hii ni special edition kwa graduates... Tunaiita โ€œUDSM GRADUATION After Partyโ€

  vs   nani dhamana yako leo? Ni Messi au Ronaldo?
08/12/2020

vs nani dhamana yako leo? Ni Messi au Ronaldo?

08/12/2020

Mnaijua mizuka ya kiswahili nyie???? ๐Ÿค” ๐Ÿ˜‚
Sasa nawaambiaje, hakuna k**a ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ .... K**a unabisha, njoo Jumatano hii ujionee mazagazaga ya watoto wa mjini ๐Ÿ˜‹

na
08/12/2020



na

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Base posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to The Base:

Share

Category