Interchick Shambani

Interchick Shambani � Tunawekeza ubora kwenye kila yai tunalototolesha, kila kuku tunaefuga na kila chakula tunachotengeneza.

Tuandikie herufi ya jibu sahihi inayoeleza muda sahihi wa kulisha Broiler starter.​Tembelea ofisi yetu iliyopo karibu ya...
18/09/2026

Tuandikie herufi ya jibu sahihi inayoeleza muda sahihi wa kulisha Broiler starter.​

Tembelea ofisi yetu iliyopo karibu yako au wasiliana nasi kupata lishe bora ya kuku wa nyama ukiwa popote nchi nzima, tupigie kupitia namba:-​
✅Dar es Saalam:
i) Mbezi HQ: 0699 999 600 au 0762 728 057
ii) Kiluvyia depot: 0683 128 783
iii) Kigamboni depot: 0696 445 847
iv) Mlandizi depot: 0653 153 882
v) Banana depot: 0683 131 587
✅Mwanza: 068 312 8837
✅Mbeya: 0683 127 974
✅Arusha: 0753 934 541
✅Dodoma: 0698 273 909
✅Morogoro: 0781 500 416
✅Tanga: 0683 131 552



Una kila sababu ya kuanza safari yako ya ufugaji na kifaranga bora,Kifaranga anayekua vizuri, mwenye uwezo wa kukupa mat...
16/09/2026

Una kila sababu ya kuanza safari yako ya ufugaji na kifaranga bora,

Kifaranga anayekua vizuri, mwenye uwezo wa kukupa matokeo bora na kukuongezea nafasi ya kupata faida chap chap.​

Usibahatishe tena, weka oda yako popote ulipo nchi nzima kwa kupiga simu kupitia namba zifuatazo:-​
✅Dar es Saalam:
i) Mbezi HQ: 0699 999 600 au 0762 728 057
ii) Kiluvyia depot: 0683 128 783
iii) Kigamboni depot: 0696 445 847
iv) Mlandizi depot: 0653 153 882
v) Banana depot: 0683 131 587
✅Mwanza: 068 312 8837
✅Mbeya: 0683 127 974
✅Arusha: 0753 934 541
✅Dodoma: 0698 273 909
✅Morogoro: 0781 500 416
✅Tanga: 0683 131 552



15/09/2026

CODE ZA UFUGAJI - EPISODE 3​

Leo kwenye Code za Ufugaji, mtaalamu wetu anazungumzia mambo 6 muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza ufugaji wa kuku. ​

Awali ya yote ni muhimu kuwa na maandalizi sahihi ili kuweka msingi mzuri wa safari yako ya ufugaji.​

Tazama video hadi mwisho, kisha tuambie kwenye comment: Wewe unaona ni jambo gani lingine ambalo mfugaji anapaswa kufanya kabla ya kuanza ufugaji? ​



Kila mfugaji anafurahia kuona vifaranga wake wakikua vizuri na kuleta matokeo bora. ​Ndiyo maana BONGE LA KIFARANGA ni m...
14/09/2026

Kila mfugaji anafurahia kuona vifaranga wake wakikua vizuri na kuleta matokeo bora. ​

Ndiyo maana BONGE LA KIFARANGA ni mwanzo unaostahili kwa safari yako ya ufugaji.​

Usibahatishe tena, weka oda yako leo ukiwa popote Tanzania nzima kupitia na namba:- ✅Dar es Saalam:
i) Mbezi HQ: 0699 999 600 au 0762 728 057
ii) Kiluvyia depot: 0683 128 783
iii) Kigamboni depot: 0696 445 847
iv) Mlandizi depot: 0653 153 882
v) Banana depot: 0683 131 587
✅Mwanza: 068 312 8837
✅Mbeya: 0683 127 974
✅Arusha: 0753 934 541
✅Dodoma: 0698 273 909
✅Morogoro: 0781 500 416
✅Tanga: 0683 131 552



Ni neno gani linafaa kukamilisha sentensi hii? ​Andika jibu lako kwenye comment hapa chini.​Weka oda yako leo ukiwa popo...
12/09/2026

Ni neno gani linafaa kukamilisha sentensi hii? ​

Andika jibu lako kwenye comment hapa chini.​

Weka oda yako leo ukiwa popote Tanzania nzima kupitia namba:-
✅Dar es Saalam:
i) Mbezi HQ: 0699 999 600 au 0762 728 057
ii) Kiluvyia depot: 0683 128 783
iii) Kigamboni depot: 0696 445 847
iv) Mlandizi depot: 0653 153 882
v) Banana depot: 0683 131 587
✅Mwanza: 068 312 8837
✅Mbeya: 0683 127 974
✅Arusha: 0753 934 541
✅Dodoma: 0698 273 909
✅Morogoro: 0781 500 416
✅Tanga: 0683 131 552



Wafugaji wengi wa kuku hawapati faida katika ufugaji kutokana na kukosa muongozo sahihi wa ufugaji.​Kwa kutambua hilo, J...
11/09/2026

Wafugaji wengi wa kuku hawapati faida katika ufugaji kutokana na kukosa muongozo sahihi wa ufugaji.​

Kwa kutambua hilo, Jumamosi hii tutatoa mafunzo ya BURE katika ofisi zetu zote za Dar es Salaam na mikoani, mafunzo haya yatakayokusaidia kufuga kwa ufanisi na kuongeza tija.​

Tuandikie maoni yako na ungependa kujifunza nini kuhusu ufugaji. ​

​


Kifaranga mwenye chanjo imara ni msingi wa afya bora, ndio maana tunahakikisha vifaranga wanapatiwa chanjo siku ya kwanz...
09/09/2026

Kifaranga mwenye chanjo imara ni msingi wa afya bora, ndio maana tunahakikisha vifaranga wanapatiwa chanjo siku ya kwanza.

Weka oda yako leo ukiwa popote Tanzania nzima kupitia namba:-
✅Dar es Saalam:
i) Mbezi HQ: 0699 999 600 au 0762 728 057
ii) Kiluvyia depot: 0683 128 783
iii) Kigamboni depot: 0696 445 847
iv) Mlandizi depot: 0653 153 882
v) Banana depot: 0683 131 587
✅Mwanza: 068 312 8837
✅Mbeya: 0683 127 974
✅Arusha: 0753 934 541
✅Dodoma: 0698 273 909
✅Morogoro: 0781 500 416
✅Tanga: 0683 131 552



07/09/2026

SAUTI ZA WASHINDI - EPISODE 6​

Kutana na Saimon Juma, Wakala wetu wa Boko, anasimulia safari yake ya miaka 4 iliyojaa mafanikio, ambapo ameweza kuwahudumia wateja wake kwa vifaranga na chakula bora kwa wakati, kutokana na yeye kupokea oda zake kwa wakati kutoka kwetu.​

Zaidi ya hapo, safari yake imeweza kufungua fursa ya ajira kwa vijana wenzake. ​

Kwa mahitaji ya kuweka oda ya vifaranga na chakula bora kwa wakazi wa Bunju, Boko na Chanika.​

Wasiliana na Wakala wetu Saimon kupitia 0744 898 532.



Habari njema kwa wakazi wa Tanga na maeneo ya jirani.Karibu Depot yetu Tanga kwa huduma ya vifaranga bora na chakula cha...
07/09/2026

Habari njema kwa wakazi wa Tanga na maeneo ya jirani.

Karibu Depot yetu Tanga kwa huduma ya vifaranga bora na chakula cha kuku aina zote.

📞Kwa mawasiliano na maelezo zaidi, tupigie: 0683 131 552



Address

New Bagamoyo Road, Jogoo/Mbezi Industrial Area, P. O. Box 5774
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255762728057

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Interchick Shambani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to Interchick Shambani:

Shortcuts

Share

Category