MCDagaa

MCDagaa DAGAA NJO ni wauzaji wa rasilimali zote za majini na shambani. Kwa mahitaji ya mlo wa familia

Wasiliana nasi
Watsap/ SMS: 0765187132
Instagram: Seafoodtanzania
Twitter: seafoodtanzania
email: [email protected]

Tunawapongeza vijana wetu Mathayo na Sarah Kwa hatua hii. Mkawe baraka katika maisha yenu. Amen
18/06/2024

Tunawapongeza vijana wetu Mathayo na Sarah Kwa hatua hii. Mkawe baraka katika maisha yenu. Amen

26/05/2023

Ndugu zangu akaunti yangu ilishindwa kuwatambua wale wote waliomba Kazi mwaka 2021. Bahati mbaya akaunti yangu Leo ndiyo imeniletea msg ila viambatanisho havionekani. Tuko katika mazungumzo na makampuni ya IT ili akaunti iwe active. Mtuwie radhi Kwa adha iliyojitokeza. KESHO afisa mkuu atakuwa msasani na osterbay akitambulisha bidhaa mpya. K**a utakuwa maeneo hayo ukisikia matangazo yetu njoo upate ofa yako. Asante

Kwa furaha kubwa tunawashukuru Shilika la ndege yetu Kwa kutupa ofa hii. Wateja wetu na walaji wetu mtapata bidhaa halis...
25/02/2022

Kwa furaha kubwa tunawashukuru Shilika la ndege yetu Kwa kutupa ofa hii. Wateja wetu na walaji wetu mtapata bidhaa halisi kabisa. Place your order. MCDagaa

Tuma mzigo wako wa samaki kati ya Mwanza/Dar kwa gharama nafuu kabisa. Wasiliana nasi kwa namba 0756067783 au 0736787722 kwa maelezo zaidi.

05/11/2021

Habarini za Kazi tunatarajia kuhamisha makao majuu ya ofisi kutoka Msasani, Kinondoni na kwenda Chanika, Ilala- DSm. Lengo ni kuwafikia wateja kirahisi. Stay tune.

SIAGI YA KARANGA: Peanut butter kuutoka Dodoma. Tupo Mikocheni A. Bei zinaandia 500/= miaatano na kuendelea.Kwa oda: 076...
20/09/2021

SIAGI YA KARANGA: Peanut butter kuutoka Dodoma. Tupo Mikocheni A.
Bei zinaandia 500/= miaatano na kuendelea.
Kwa oda: 0765187132

Kwa kuwa ni mmoja wa wanufaika na mazao ya vyqnzo vya mito. Timu yetu inakusudia kutuma wawakiilishi, kubarizi fukwe za ...
17/07/2021

Kwa kuwa ni mmoja wa wanufaika na mazao ya vyqnzo vya mito. Timu yetu inakusudia kutuma wawakiilishi, kubarizi fukwe za Ziwa Nyasa na kujionea vivutio vya kitalii wa kitamaduni na mahqndhari.

MCDagaa kazi iendelee, karibu tukuhudumie tupo mitaani k**A KAWAIDA
27/04/2021

MCDagaa kazi iendelee, karibu tukuhudumie tupo mitaani k**A KAWAIDA

Tangia, mpendwa wetu, tutakumisi ila ndo Kazi yake Mungu. Mungu ulitupa zawadi Leo umentwaa. Ulituhahidi tuwe mabilionai...
18/03/2021

Tangia, mpendwa wetu, tutakumisi ila ndo Kazi yake Mungu. Mungu ulitupa zawadi Leo umentwaa. Ulituhahidi tuwe mabilionaire thtaziishi ndoto zako

Hello wakazi wa Dar es Salaam Leo MCDagaa yupo Bahari Beach, Ununio, Tegeta Msichoke. Karibu tukuhudumieBidhaa ya leo ni...
07/02/2021

Hello wakazi wa Dar es Salaam Leo MCDagaa yupo Bahari Beach, Ununio, Tegeta Msichoke. Karibu tukuhudumie

Bidhaa ya leo ni dagaa wa Moto waliokaagwa grade 1& 2
Kwa maswali, Appointment- 0765187132

Hello watu wangu. Tuite tukuhudumie tupo Kawe leo. Malipo kwa Mpesa /WhatsApp, miadi - 0765187132.
03/02/2021

Hello watu wangu. Tuite tukuhudumie tupo Kawe leo. Malipo kwa Mpesa
/WhatsApp, miadi - 0765187132.

Address

Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MCDagaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to MCDagaa:

Share