19/09/2026
๐ DARASA LA UFUGAJI WA KUKU KIBIASHARA ๐ฃ๐
Je, unataka kuanza au kuboresha ufugaji wa kuku kwa faida?
Karibu kwenye darasa maalum la mtandaoni (ONLINE) lenye mafunzo ya vitendo na kibiashara.
๐ NJIA YA MAFUNZO:
โ
Google Meet (darasa la moja kwa moja)
โ
WhatsApp Chat (maswali, majadiliano na mrejesho)
๐
TAREHE YA KUANZA: 01/10/2026
โฐ MUDA: Saa 3:00 kamili usiku hadi saa 4:00 kamili usiku
๐๏ธ MUDA WA MAFUNZO: Siku 10 tu
๐ฐ ADA YA MAFUNZO:
๐ Tsh 100,000/= (Laki moja tu)
๐ณ NAMBA YA MALIPO (M-Pesa/TigoPesa/AirtelMoney):
๐ 0766 380 193
๐ค Jina: Christowelu Zephania
๐ BAADA YA MALIPO:
โ๏ธ Tuma ujumbe (message) wa uthibitisho wa malipo kupitia WhatsApp
โ๏ธ Tuma kwenda namba: 0766 380 193
โ๏ธ Utahunganishwa kwenye group la darasa mara moja
๐ YATAJIRIWA KATIKA DARASA:
โข Ufungaji wa banda la kuku kitaalamu
โข Aina bora za kuku wa kibiashara
โข Lishe sahihi na usimamizi wa gharama
โข Ratiba ya chanjo na magonjwa
โข Mbinu za kuongeza uzalishaji
โข Hesabu za faida na hasara
โข Masoko ya mayai na nyama ya kuku
๐ฏ Darasa linafaa kwa:
โ๏ธ Wanaoanza ufugaji
โ๏ธ Wafugaji wanaotaka kukuza biashara
โ ๏ธ NAFASI NI CHACHE โ JIUNGE MAPEMA โ ๏ธ
๐ฒ Mawasiliano: 0766 380 193