pwezawetu_

pwezawetu_ Wauzaji na wasamabaji wa Pweza ambao wameandaliwa vizuri na kuwa packed katika packages tofauti kulingana na mahitaji yako.

Tuna package za familia,package za watu maalum,package za wapendanao,package za jumuiya.

12/10/2025

Order your menu today:

Call 0696239192

WhatsApp 0655296762

Hello boss,Karibu Pweza Wetu, tunapokea oda kwa ajili ya Sea Food  1. Pweza Roast -14000@package2. Pweza Makange-15000@p...
11/10/2025

Hello boss,

Karibu Pweza Wetu, tunapokea oda kwa ajili ya Sea Food
1. Pweza Roast -14000@package

2. Pweza Makange-15000@package

3. Pweza Choma- 14000@package

4. Pweza kaangwa- 14000@package

5. Pweza Mchemsho- 12000@package

6. Pweza wabichi -18000@kg

7. Pweza Changamoto-15000@package

8. Calamari roast -20000@package

9. Calamari Choma -18000@package

10. Calamari kaangwa -18000@package

11. Ngisi fresh - 20000@kg

11. Samaki roast changu - 12000

12. Changu Makange- 15000

*Note*
1. Oda hizi zote zinakwenda na side dish ya either ndizi au chipsi.
2. Tunafanya DELIVERY popote ndani ya Dar-es-salaam kulingana na umbali unapohitaji tukufikishie.

Call/WhatsApp 0655 296762

Wewe ni mfanyabiashara, hotel, mgahawa, bucha na unahitaji kuanza kutoa huduma ya Seafood dishes au kuuza rejareja. Plea...
05/10/2025

Wewe ni mfanyabiashara, hotel, mgahawa, bucha na unahitaji kuanza kutoa huduma ya Seafood dishes au kuuza rejareja. Please tupigie simu 0696239192 tuzungumze na tufanye biashara. Kwa wale wenye migahawa au hotel, k**a huna uzoefu lakini unatamani kuanza biashara hii, tutakufundisha namna ya kuwaandaa na kutoa kile kinachohitajika kwa wateja.

Karibu sana tufanye biashara.


lovers

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹Hawa ni Prawns au Kamba wakubwa weupe, wanapatikana kwetu  kwa bei ya 25000 tu kwa kilo. Unaweza kuoda kilo zaidi y...
03/10/2025

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Hawa ni Prawns au Kamba wakubwa weupe, wanapatikana kwetu kwa bei ya 25000 tu kwa kilo. Unaweza kuoda kilo zaidi ya moja kwa matumizi ya nyumbani au hata biashara, nasi tutakufikishia popote ulipo Dar-es-salaam na hata k**a ni mkoani tutakiandalia vizuri kabisa na kukutumia kwa usalama.

NOTE: Tutakusaidia pia namna ya kuwaandaa kwa wale ambao hawajui na wanatamani kujua ili wawe wanaandaa katika mazingira yao.

Call/WhatsApp 0696239192 for your order.






πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹Hiyo ni Pweza Choma, nawe pia waweza kupata k**a hiyo na kufikishiwa popote ndani ya Dar-es-salaam. Call/WhatsApp ...
21/09/2025

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Hiyo ni Pweza Choma, nawe pia waweza kupata k**a hiyo na kufikishiwa popote ndani ya Dar-es-salaam.

Call/WhatsApp 0696239192

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹Hiyo ni Pweza Choma, nawe pia waweza kupata k**a hiyo na kufikishiwa popote ndani ya Dar-es-salaam
21/09/2025

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Hiyo ni Pweza Choma, nawe pia waweza kupata k**a hiyo na kufikishiwa popote ndani ya Dar-es-salaam

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹Na wewe waweza pata k**a hii kwa ajili ya lunch nyumbani au ofisini, tupe oda tukuandalie na tukufikishie popote...
11/09/2025

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Na wewe waweza pata k**a hii kwa ajili ya lunch nyumbani au ofisini, tupe oda tukuandalie na tukufikishie popote ulipo.

Call/WhatsApp 0696239192 for your order.

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹Unaijua ladha ya hii sea food? Waswahili wanaita kamba, ni samaki wa baharini wazuri sana na tena wakiwa wameanda...
15/08/2025

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Unaijua ladha ya hii sea food? Waswahili wanaita kamba, ni samaki wa baharini wazuri sana na tena wakiwa wameandaliwa vizuri.

Call/WhatsApp for your order.

0696239192

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹K**a hii inapatikana pia ikiwa na side dish yake.Call/WhatsApp for your order.0696239192
14/08/2025

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

K**a hii inapatikana pia ikiwa na side dish yake.

Call/WhatsApp for your order.
0696239192

13/08/2025
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹We provide food, we provide service.Call/WhatsApp 0696239192 for your order.We deliver.
13/08/2025

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

We provide food, we provide service.

Call/WhatsApp 0696239192 for your order.

We deliver.

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹Hiyo ni Pweza Choma, jaribu nawe.For your orderCall/WhatsApp 0696239192
13/08/2025

πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Hiyo ni Pweza Choma, jaribu nawe.

For your order
Call/WhatsApp 0696239192

Address

Pweza Wetu Kigamboni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when pwezawetu_ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share