03/03/2023
Tunatoa huduma ya bites mbalimbali k**a sambusa, kababu, eggchop, Catles, nk. Bei zetu ni nafuu.
Sambusa za nyama
Tunatoa Huduma Ya Lunch Monday To Saturday
Delivery Ipo
Pia tunatoa huduma ya kupack bites kwenye event mbalimbali iwe graduation, birthday, vikao nk. karibuni sana
Karibuni Wote