SKfood

SKfood We prepare, supply and deliver fresh, hot food packages including Mushroom food packages

10/08/2026

Updates: Mteja wetu leo anatupigia mluzi baada ya kuona mambo saaafi...leo ni siku ya 18 tangu tupande mbegu za Uyoga, colonization is 100% pure, muda wowote kuanzia sasa tutaanza kuvuna Uyoga. Endeleeni kutufuatilia... !

07/08/2026

Updates: Haya ndiyo maendeleo ya utandaji mbegu kwenye mashamba ya uyoga, wiki ya pili hii. See you nextweek. !

14/12/2025

Yeye ameanza kulima kidogo sana kwa lengo la familia, lakini faida ni kubwa mno!

14/12/2025

Twende kazi...unalima, unakula, unapata pesa, tupo hapa kwa ajili yako, be the first! Piga simu 0767209484, 0713600915, 0740450101

Kwanini uugue kisha uteseke na unaweza kujikinga? Matibabu ni ghali sana ndugu zangu. Eat fresh, stay healthy.
18/01/2021

Kwanini uugue kisha uteseke na unaweza kujikinga? Matibabu ni ghali sana ndugu zangu. Eat fresh, stay healthy.

God has a plan & reason for you to be in 2021. Don't give up,  what ever it is, will be good at the end.
17/01/2021

God has a plan & reason for you to be in 2021. Don't give up, what ever it is, will be good at the end.

Small is Beautiful. Taam sana hii, waonjeshe watoto wako leo, na katu hawatoacha kula kila siku. Tumia Uyoga sasa! Nunua...
17/09/2020

Small is Beautiful. Taam sana hii, waonjeshe watoto wako leo, na katu hawatoacha kula kila siku. Tumia Uyoga sasa! Nunua Uyoga nikuelekeze kupika!

Morning! K**a hujawahi kula Pizza katika maisha yako, basi Anza na hii.  . Vitamu huwa havisimuliki rafiki, ndiyo maana ...
17/09/2020

Morning! K**a hujawahi kula Pizza katika maisha yako, basi Anza na hii. . Vitamu huwa havisimuliki rafiki, ndiyo maana wahenga wetu walisema mchovya asali huwa haachi ng'oo. Nunua Uyoga nikuelekeze kupika!

Address

34113 DSM
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255713600915

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SKfood posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category