08/01/2024
JE WAJUA?
Sasa ukiwa popote Arusha mjini tunakuletea chipsi zetu na ndizi mzuzu hadi mlangoni mwako?
*Chips yai(zege)
*Chips kavu
*Mishikaki
*Kuku
*Sausage nakadhalika
Chipsi zetu ni nzuri mnooo na tamu sana kwani tunatumia recipe zilizobuniwa kwa ustadi wa hali ya juu. Tupigie Sasa 0758119650 tukufikie
Delivery ni bure kabisa hadi saa Saba na nusu mchana kwa waliotoa oda.