Masii Joint

Masii Joint We thrive on building long-term relationships with our patrons. Come experience our personalized services while listening to your favorite music.

We allow our patrons to mingle with our elegant customer attendants. Extra services available on order!!!

10/05/2013

stolen:
ZIFUATAZO NI ADHABU ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI POMBE, MOMBASA:

1. Kosa la kumtoroka mlevi mwenzako kwenye Bar – Jela miezi tisa.
2. Kuacha kunywa pombe na fedha unazo – Kifungo cha maisha.
3. Kuvunja chupa ya beer – Jela miaka miwili.
4. Kumkaribisha mume au mke wa rafiki yako bila idhini yake – Viboko ishirini vya makalio na kufungiwa kunywa nusu siku.
5. Kumchukulia dhamana mtu asiyepiga gambe/mma (pombe) – Adhabu yake ni kutolewa chamani.
6. Kumwibia pombe mlevi mwenzako ni kosa kubwa – Jela mwaka mmoja.
7. Kukataa kunywa wakati umekaribishwa – Jela miaka mitano.
8. Kukwepa ulevi wa aina yoyote adhabu ni – Kunyang’anywa mume au mke, k**a huna utaozwa mume au mke kwa nguvu.
9. Kupita Bar au Grocery na kujifanya huoni hilo ni kosa kubwa faini yake ni– Kuwanunulia wanywaji wote waliokuwa kwenye Grocery au Bar kila mtu kinywaji anachokunywa na kukaa ukiwaangalia mpaka wamalize.
10 Kumcheka mnywaji mwenzako akiwa amelewa ni kosa la jinai, unachotakiwa kufanya ni kumpongeza kwa kazi nzito aliyoifanya adhabu yake ni – Kutolewa kwenye Bar muda wa dakika moja.

08/05/2013

THE TEN COMMANDMENTS OF BEER (Revised Edition)
1. Respect the buyer
2. Greet the buyer before u sit
3. Don't be boring, tell stories but don't talk more than the buyer
4. Always help the buyer with carrying beer from the counter
5.If the buyer sends u, don't refuse
6. Dance to any music that the buyer likes
7. Don't look smarter than the buyer
8. Reduce the sips to protect the pockets of the buyer
9. Always open for the buyer and serve the buyer
10. Buyer's jokes are always funny so laugh out loudest.

NB:
It has come to our attention that these rules are sometimes broken.
This is not good at all because the buyer(s) may refuse to pay their huge bill.
We hope in future everyone complies with them to enable smoothing buying.

.

03/05/2013

Mingle with our elegant customer attendants!

Address

Hamza Road/Off Jogoo Road
Moi
020

Opening Hours

Monday 17:00 - 23:00
Tuesday 17:00 - 23:00
Wednesday 17:00 - 23:00
Thursday 17:00 - 23:00
Friday 17:00 - 23:00
Saturday 17:00 - 23:00
Sunday 17:00 - 23:00

Telephone

0724869348

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masii Joint posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category