Patisserie_tz

Patisserie_tz We bake all types of cakes, For all types of events

20/09/2026

Me kiukweli nilijinunulia mwenyewe na ada nilijilipia mwenyewe kusoma basics za baking.

K**a unaye alieamini ndoto yako usimsahau cause thats rare, sio kila mtu anahiyo privilege

Tag your person and say thank you❤️❤️

19/09/2026

Bado unasema hauna content?? Chukua hii

Link iko kwenye bio on a whole masterclass ya jinsi ya kutengenza baking content inline

Baking, content creation

18/09/2026

Invest in your baking skills, not just your baking tools.
Better skills = better products, happier clients, and a baking business that actually makes money. 💰👩🏽‍🍳

All my top Master classes available in the bio

Baking, reels , fyp, mwanza

17/09/2026

So hizi ni yips chache tu nazoweza share na ninyi kuepuka filling kuvunja wakat wa stacking za cake

Tips za kuzuia filling kutoka pembeni 🎂

* Usiweke filling nyingi sana.
* Tengeneza dam kuzunguka edge ya cake.(ukingo yani k**a nilivonyesha kwenye Vedio)
* Acha space kidogo pembeni.
* Filling iwe na consistency sahihi. Too soft itavuja
* Chill kila layers baada ya filling na crumb coating kisha ndio uje uweke ganache
* Usi-stack cake ikiwa filling bado ni soft.
* Cake layers ziwe level.
* Check edges kabla ya final decoration.

Camera ilizima so i couldn’t record the ganache part but am sure u can find some tutorials on the internet

Ganache, cake, filling, layers

13/09/2026

This was an amazing interview with one of the best KISMART CAKES .. moja katika vitu vya msingi sana alivosisitiza ni BAKERS TUJIPE THAMANI, kazi yetu ni ya muhimu sana hivyo tuipe thamani na tuwe na umoja.

Mmemsikia jamani baking na content creation ni moja ya njia ya kutoboa kwa haraka sana kwa sasa, unaweza kuwa na kazi nzur ila kutoboa ikawa kazi sana k**a hautumii mitandao ya kijamii kwa usahihi.

K**a unahitaji course on how to start content creation in your baking business link is in the bio or dm

Wana Mwanza tujipange kujifunza zaidi kupitia hio offer yake aliosema, also dm for more information.

Asante sana da Joan Tanzania Bakers Platform 🇹🇿 TALENT • VOICE • EDUCATION, Lakezone_Cake_Exhibition-Mwanza, shout out to walimu wote wanaojitolea kufundisha na kukuza vipaji.

12/09/2026

Ukiachana na kubake am a very good host, bakers mmepeta na nyie host wenu wa kwenye red carpet interviews 😄😄

Astery_Delights🍰 it was lovely to meet you❤️

12/09/2026

I had a successful two day session with mwanza bakers on my two days course niliyoongelea how content creation and baking can make you visible and increase more sales

Masterclass nzima iko kwneye bio

10/09/2026

Mwanza cake exhibition 🔥.. tell you baker to tell a baker kesho Mrs Aristotee Cake / Dar KISMART CAKES will be live to teach,share experience and just vibe

Thank you dada wa mkoa for this amazing interview Jane Julius ❤️

10/09/2026

Done and dusted.. KISMART CAKES Hii ni kubwa sana
Asante kwa kuja, asante kwa kazi nzur sana

08/09/2026

Kona ya bwiru put yo hands up together for your girl Wonderland bakery ❤️❤️ sucha charm🔥🔥

Address

Tema, Stand Ya Isamilo
Nyegezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Patisserie_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to Patisserie_tz:

Shortcuts

Share

Category