27/09/2026
π πππ‘π¨ π³ ππ ππ¨ππ¦ππ π‘π π ππ πͺπππ’ ππͺπ ππ ππ‘π
1οΈβ£:ππ¦ππ π‘ππ¬π ππͺπ πππππ π¦ππ‘π
Mkikosana shughulika na tatizo na sio
kumshambulia yeye binafsi,Tafuta kumsikiliza kwa makini na utafahamu ukweli kwenye maneno yake
Siyo kila jambo linahitaji mabishano.Ukiishi naye kwa akili, unajua lipi la kuzungumzia na lipi la kuachia ili kulinda amani.Kwa kadri mlivyoishi tayari unafahamu mambo gani hayapendi,Usipende kuyarudia na kuyafanya ,yaepuke kabisa kutunza amani yenu
Mke wako ndiye kipaumbele,Hakikisha maamuzi ya ndoa hayatawaliwi na marafiki au ndugu.
2οΈβ£:ππ¦ππ π‘ππ¬π ππͺπ π¨π£ππ‘ππ’ π¦ππ‘π
Mpende mke wako kwa moyo wote,si kwa maneno tu bali kwa matendo.
Upendo hujenga msingi wa ndoa yenye
afya.
Umemchagua yeye kati ya wanawake wote duniani basi muonyeshe upendo na hakuna haja ya kumuumiza huyo mrembo wako
Mvumilie katika madhaifu yake, Mtunzie heshima yake k**a mke wako na siku zote aone kuwa anaishi na mtu
anayempenda
3οΈβ£: πππππ π¨ ππ¨πππ π¬πππ π¬π π¨π£ππ‘ππ’ π‘π π¨πππππ π‘ππ¬π’
Ukiijua lugha yake ya upendo,utajua namna ya kumgusa moyo bila kutumia nguvu nyingi.
Lugha ya upendo ni njia ya kipekee ambayo
kila mtu hupokea na kuhisi upendo zaidi
Fahamu mke wako huhisi upendo zaidi
ukimfanyia kitu gani ?
Kile ambacho hukipenda zaidi basi mfanyie
mara nyingi zaidi ya vingine
K**a anapenda kusaidiwa kazi basi msaidie
kazi nyingi zaidi na k**a anapenda kupokea zawadi mletee zawadi nyingi.
4οΈβ£:π π£π’π‘ππππ ππͺππ‘π¬π πππ§π¨π ππππ ππ π πππ¦ππ π¬π ππππ π¦πππ¨, π π§ππ πππ π ππ‘ππ‘π’ π πππ¨π₯π
Maneno madogo madogo ya pongezi
hujenga moyo wake kila siku hivyo usiache
kumpongeza pale anapofanya vizuri
K**a anafanya jambo fulani basi
anapofanya usiache kumpongeza na
kumuonyesha kwamba anajua
Msifie kwenye mambo yake anayoyafanya na hili litamjengea kujiamini na kujiona
mwanamke bora zaidi
Maneno mazuri unayomtamkia humjenga
yeye na kuanza kufanania hayo
5οΈβ£: π ππ πͺπππ’ ππ‘ππ£ππ‘ππ ππ¨π¦πππππππͺπ
Msikilize pale ambapo ana jambo la kukuambia
Mpe muda wako akuambie mambo yake
Kumbuka mwanamke huzungumza maneno mengi zaidi kwa siku kupita mwanaume
Hivyo usipompa muda wa kutosha atatafuta sehemu ya kuyaeleza hayo ambayo wewe
huyasikilizi
Muda mwingine yanaweza yasiwe ya maana sana ila tega tu sikio lako na msikilize na
muonyeshe ushirikiano
6οΈβ£:π¨π¦ππ π£πππ π ππ πͺπππ’
Mke hapigwi bali anabebelezwa
Akikukosea mkumbatie na myamalize mambo yenu kwa upendo na sio kumpiga
Mwanaume anayempiga mke wake ni
mwanaume dhaifu sana
Usiwe dhaifu bali onyesha ukomavu wako
kwa kumaliza ugomvi wenu kwa amani
Siku zote muonyeshe upendo wa hali ya ju huyo mrembo wako na acha aone fahari
kuwa na mume k**a wewe
7οΈβ£:π π¨π’π πππ π¦ππ‘π π‘π π¦πππ¨ ππ’π§π π πππ§π πππ₯πππ¨ π‘π π π¨π‘ππ¨
Mke wako ni msaidizi wako na ni mlezi wa
watoto wako
Muombee kwa Mungu ampe hekima ya
kuwalea watoto kwa hekima yote
Siku zote mlete karibu na Kristo ili na yeye
andelee kuwa msaidizi bora zaidi
Fanyeni ibada pamoja kabla na baada ya
kuamka,Mtamkie baraka kwenye kazi zake na kumuombea kwa jina la Yesu