08/07/2026
π₯ Ni Wakati wa Kujiwekea Oda! π₯
Wafugaji wote mnakaribishwa kulipia oda za vifaranga mapema kwa mwezi huu na mwezi ujao.
π Oda zinaongezeka kwa kasi, hivyo usisubiri hadi dakika za mwisho. Kulipa mapema kunakuhakikishia kupata vifaranga kwa tarehe unayoihitaji.
β οΈ Epuka foleni na usikose vifaranga kutokana na nafasi kujaa.
Wahi kuweka oda yako leo!
π₯ Makuku Kilimanjaro π 0756 752 779 π Usafirishaji salama Tanzania nzima