Ishi Njozi

Ishi Njozi JE UMEKATA TAMAA?..Hivi unajua kukata tamaa Ni Hali ya kawaida ya maisha? LAKINI K**a hatua muhimu hizita chukuliwa zaweza kuleta madhara makubwa?

Online Courage ipo ii kukupa tumaini na Nguvu.

HATUA TATU KUTOKA KWENYE DHAHABU,Hii ni hadithi ya kweli...Mr Darby alikuwa kwa muda mrefu anatamani kuchimba dhahabu,Na...
25/03/2023

HATUA TATU KUTOKA KWENYE DHAHABU,

Hii ni hadithi ya kweli...

Mr Darby alikuwa kwa muda mrefu anatamani kuchimba dhahabu,

Na kutokana na tamaa hiyo alipata homa,

Hatimaye alifanya uamuzi wa kwenda na

KUCHIMBA NA KUWA TAJIRI hakuwahi kuelewa kwamba,

Dhahabu imechimbwa sana kutoka katika akili za watu kuliko kutoka ardhini...

Kazi ikaanza,

Baada ya kuchimba sana na kutumia vifaa vingi,

Vingine ambavyo alisaidiwa na ndugu zake..

Bado aliambulia patupu 😔,

Darby akiwa na Mjomba wake hatimaye wakafanya uamuzi k**a wa wengi...

🏃 KUONDOKA

Wakauza vifaa vyote kwa mtu aliyeonekana wa hali ya chini,

Huyu mtu alifanya Jambo la utofauti,

Alitafuta mtaalamu ambaye alilichunguza eneo na kumwambia.

Dhahabu ipo hatua tatu eneo Darby na mwenzake waliishia,

Baada ya kuchimba HATUA TATU TU!

Dhahabu ilipatikana,

Somo;

Kabla ya kukata tamaa ni vema ukapata ushauri kutoka kwa wataalamu kuhusu Jambo unalotaka kufanya,

Natumaini Umejifunza kitu hapa,

Kumbuka *Njozi Yako Ni Taa Yako*

Mpaka Wakati mwingine,

"Njozi Yako Ni Taa Yako"

Njozi Media

*Mvuvi mwenye Akili...*Mwanaume mmoja aliamua kwenda kumu angalia mvuvi,Akafika na akamuona anaendelea kuvua kaa,Jambo m...
24/03/2023

*Mvuvi mwenye Akili...*

Mwanaume mmoja aliamua kwenda kumu angalia mvuvi,

Akafika na akamuona anaendelea kuvua kaa,

Jambo moja lilimshangaza na kumfanya amuulize mvuvi hivi,

"Mbona haujafunika ndoo hiyo unamoweka kaa?"

Mvuvi alijibu kiufupi,

"Nimeacha wazi kwa sababu wapo kaa wengi ndani ya ndoo"

Mwanaume akashangaa,

"Unamaanisha Nini?"

Ndipo akaeleza kwa undani zaidi,
"Kwa sababu kaa wapo wengi hakuna kaa atakayejaribu kutoka, Maana kila anapotaka kutoka kaa wengine watamvuta na kubaki ndani ya ndoo"

Nimekusimulia kisa hiki kifupi ili nikwambie Hili,

*Aina ya watu ambao unanzungukwa nao,Kwa namna moja au nyingine ndio wanaweza kukuinua au kukushusha*

Kuna msemo ambao unasema,

"Niambie aina ya marafiki ulipnao, nitakwambia hatma yako"

Sasa ikiwa unakaa karibu na sigara Bila shaka hata wewe utavuta sigara pia,

Hata K**a utasema siwezi bado utavuta Moshi wake ambao Ni hatari zaidi,

Ni wakati wa kutafakari ndugu, jamaa na marafiki ambao unakuwa naonmara kwa mara,

Je wanakusaidia kuona unafukia malengo yako?

Au Ni wa kukushusha chini.

Ikiwa unaona unashushwa chukua tahadhari kwa sababu mwishowe hautafika popote,

Kuna kisa kingine tena,

Kwamba mwindaji aliokota yai la tai porini,

Akalichukua na kulipeleka nyumbani kwake akachanganya pamoja na mayai ya Kuku,

Hatimaye lilitotolewa na tai akachanganyika pamoja na vifaranga,

Akiwa tayari mkubwa aliona Kiumbe mwingine tofauti kabisa na Kuku,

Huyu alikuwa akiruka juu Sana kuliko kuku wa kawaida,

Akauliza kwa Kuku Ni kwa Nini ndege yule anaweza ruka vile na sisi hatuwezi,

Aliambiwa "Yule Ni tai na sisi Ni kuku"

Hatimaye tai huyu alikufa akiwa hajajitambua kuwa alikuwa Ni tai.

Hata wewe ili kufika unapotaka kufika Lazima uhalikishe u azungukwa na watu sahihi,

Naamin umejifunza kitu hapa,

Mpaka Wakati mwingine,

"Njozi Yako Ni Taa Yako"

Njozi Media.

*Kosa kubwa ambalo kila mwenye Njozi anatakiwa kuliepuka.*"Mdomo wako utakuponza"Unaelewa Nini unapoambiwa msemo huo?Leo...
23/03/2023

*Kosa kubwa ambalo kila mwenye Njozi anatakiwa kuliepuka.*

"Mdomo wako utakuponza"

Unaelewa Nini unapoambiwa msemo huo?

Leo nitakwambia kosa ambalo wenye Njozi (Ndoto kubwa) wengi hufanya,

Na hatimaye kuchelewa Kutimiza Njozi zao au hata Kutotimiza kabisa,

Haya hebu tuanze,

Karibu kila mtu amepewa mdomo,

Lakini sio kwamba kila wakati na kila sehemu ukiwa na kila mtu unatakiwa kuongea,

Yaani Kufungua mdomo wako...e

Kwa sababu,

Unapokuwa mtu wa kutojua wapi uongee, kwa Nani uongee, na nini uongee waweza pata hasara hizi,

•Kuzuia nafasi yako ya kujifunza zaidi kutoka kwa huyo mtu,

Tambua hili wanaojua Mambo mengi Mara zote hawapendi kusema Sana,

Unapokuwa unaongea Sana wao waweza kaa kimya au kubaki Wanasema,

"Enhee",

"Ilikuwaje?"

"Wachawe!!!"

Na wewe unasema hapa ndipo kumbe yote unayosema yeye anajua,

Ila kwa sababu anapenda kujifunza zaidi ndo maana anakusikiliza,

Na pia kwa kuwa mtu wa kuongea tu,

•Upo hatarini kusema mipango yako kwa watu ambao wanaweza kutumia K**a Silaha dhidi yako,

Unao marafiki, ndugu na jamaa...

Kila mtu ana fikra zake, Mipango yake, na utofauti wake,

Lakini "Kila mtu anataka kuwa na Mafanikio makubwa maishani"

Hivyo unapokuwa na NJOZI kubwa na Ni mtu wa kusema Sana,

Waweza sema Njozi Yako kwa watu ambao wakishatoka hapo kuondoka na kupambana mpaka watimize kabla yako,

"Usiseme Seme"

"Tulia"

Ninakunong'oneza maneno haya kwa sababu Asilimia tisini na Saba hawajui Hili,

Ngoja Ni kuaminishe zaidi,

Watu Hawa,
1.Albert Eisten,

2.Jk.Lowling,

3. Elon Musk,

4. Michael Jordan,

5. Warren Buffet,

Na wengine wengi wote Ni watu ambao sio waongeaji Sana,

Waweza angalia Mafanikio ya kila mmoja Google,

Huu ni ujumbe ambao utasikia Mara chache unaongelewa,

Hivyo Basi chukua hatua Sasa,

Badilika Sasa,

Kwa sababu Huenda asikukumbushe mtu mwingine yeyote,

Nakutakia Siku Njema,

"Njozi Yako Ni Taa Yako"

Njozi Media.

*Siri hii...*Je unapitia changamoto ya kuanza Mambo na Kisha kuacha baada ya muda Fulani?Au,Unaanza na unakata tamaa una...
22/03/2023

*Siri hii...*

Je unapitia changamoto ya kuanza Mambo na Kisha kuacha baada ya muda Fulani?

Au,

Unaanza na unakata tamaa unapo karibia hitimisho?

Leo Siri moja kubwa kutoka kwa waliofanikiwa,

Yaani Mabilionea zaidi ya Mia tatu Dunia nzima,

Nayo Ni *Uthubutu*

Kila unayemuona akiwa juu Leo alikuwa chini,

Kila unayemuona Ana furaha Leo alikuwa na huzuni,

Kila unayemuona Ana pesa leo alikuwa na nyakati za kutokuwa na pesa,

Kwa kila Hali ambayo unamuona mtu Fulani kuwa juu leo,

Naye alikuwa na nyakati zake za hali mbaya na kuumiza Sana,

Ila waliamua *Kuthubutu* kwa kwa kila Hali,

Kupambana hata K**a walipitia hisia za kukatisha tamaa,

Japokuwa walichekwa,

Walidharauliwa,

Walikejeliwa,n.k

Bado waliamua *kuthubutu*

Yaani kupambana mpaka Lengo litimie,

Haya naongea na wewe Sasa,

Amua *Kuthubutu*

Pambana mpaka Lengo lako litimie,

Natumaini umepata kitu hapa,

Mpaka Wakati mwingine,

Njozi Media.

Sehemu Ya Pili,*Huu Ndiyo Ushauri Ikiwa Unataka Kufikia Lengo Lako*Na wakati Fulani unafikiria kuwa umelogwa?Hapana,Ila ...
22/03/2023

Sehemu Ya Pili,

*Huu Ndiyo Ushauri Ikiwa Unataka Kufikia Lengo Lako*

Na wakati Fulani unafikiria kuwa umelogwa?

Hapana,

Ila Huenda sababu ipo hapa,

Unalengo kubwa sawa...

•Matendo Madogo Madogo unayofanya sio ya kukufanya ufikie Lengo lako,

•Aina ya watu ulio nao karibu Ni wale wanaokuridisha nyuma Bila ya wewe kujua,

•Hauna watu maalumu ambao unataka kujifunza kutoka kwao,
n.k

Sababu zaweza kuwa nyingi,

Jiulize swali Hili kwa kila unalofanya,

"Je hili ninalofanya sasa litanisaidia kufikia Lengo langu?"

Na uzuri wa sheria hii Ni kwamba,

Waweza badilisha Mambo leo,

Ambayo yatakufanya ufikie hatma yako,

Fikiria Sasa kwa Nini unakwama?

Lazima Kuna sababu fulani,

Unapoanza wiki hii fahamu sababu zinazokufanya ubaki hapo hapo Bila kufikia Lengo lako,

Umejifunza kitu hapa?

Umeelewa?

Usisite kunitumia Ujumbe,

Mpaka Wakati mwingine,

@ Ishi Njozi Media.

*Huu ndiyo ushauri Bora ikiwa unataka kufikia Lengo lako...*Marafiki wawili John na Jeremy walikwenda kuomba kazi katika...
22/03/2023

*Huu ndiyo ushauri Bora ikiwa unataka kufikia Lengo lako...*

Marafiki wawili John na Jeremy walikwenda kuomba kazi katika kampuni Fulani,

Kwa habari nzuri wote wakapata kazi na kuianza,

Walifurahia kazi hiyo na kuona malengo yao yatatimia ndani ya muda mfupi,

Hali walizokuwa nazo kabla hazitajirudia Tena,

Baada ya kufanya kazi kwa takribani miezi mitatu Jeremy alipandishwa cheo ya bosi ya kampuni hiyo,

John Ali huzika sana,

Alijisemea hivi "Tumeajiriwa wote lakini anampandisha yeye cheo na Mimi anipandishi"

Manun'guniko yake yalipozidi Alaina Ni Bora aende kwa bosi kumuuliza,

Bosi huyu alikuwa ni mwelewa na alikuwa na hekima,

Akamwita Jeremy wakawa wote ofisini,

Watatu Yani John, Jeremy na Bosi.

Kisha bosi akamwambia John "Nenda Sokoni kaulize Bei ya matikiti"

John akaondoka,

Huyooo Sokoni,

Baada ya muda mfupi akarudi,

Ndipo akaulizwa "Ni Bei gani?"

Akajibu "Matikiti Ni Tsh. 3,000/="
" Sawa bosi akasema"

Kisha akamwambia Jeremy aende naye sokoni kuuliza Bei ya matikiti,

Jeremy alichukua muda kidogo kurudi,

Alipofika jibu hivi,

"Matikiti yapo ya Elfu tatu, Elfu Tano na Elfu sita...

Bei za matikiti zinatofautiana kutokana na uzito wa tikiti na ubora wake,

Matikiti ya elfu sita ambayo Ni mazuri yanakaribia kuisha,

Muuziaji amesema atatupunguzia Bei ikiwa tutawahi Sasa hivi.... "

Jeremy ak**aliza kujibu,

Mwishoni bosi akamuuliza John,

" Umeona mwenzako alivyojibu? Wote si mlienda Sokoni?"

Hatimaye John alielewa Ni kwa Nini Jeremy alipandishwa cheo,

Ya kwamba Jeremy alifanya zaidi ya alichoagizwa,

Wote wakaondoka ofisini wakiwa na amani,

Sasa nimetumia stori hii kwa sababu Nataka kukwambia sheria hii,

Ni sheria ya *Sababu na Athari *

Wazungu wanaiita *Cause and Effect*

Sheria hii ilianzia kutoka kwa mwanafalsafa Nguli "Aristotle"

Sheria inasema hivi...

"Kila Jambo linatokea kwa sababu, Na kila Athari Kuna sababu Fulani"

Katika Biblia sheria hii pia inaitwa Sheria ya Kupanda na Kuvuna,

" Utavuna ulichopanda"

K**a ilivyokuwa kwa John yaweza kuwa kwako pia,

Unajiuliza Ni kwanini unakwama?

Kwanini Kuna baadhi ya malengo hauyafikii?

Na wakati Fulani unafikiria kuwa umelogwa?

Hapana,

Fuatilia Sehemu Ya Pili.

*Jinsi Ya Kupata Kila Unachotaka*Si umewahi angalia zile movie za "Pete  Ya Ajabu?"Yaani unakuwa na Pete alafu unaiambia...
20/03/2023

*Jinsi Ya Kupata Kila Unachotaka*

Si umewahi angalia zile movie za "Pete Ya Ajabu?"

Yaani unakuwa na Pete alafu unaiambia kila Aina ya kitu unachotaka na unaletewa,

Sasa wewe ungekuwa na nafasi hiyo ungeomba Nini Sasa?

Ni kitu gani ungesema Pete ikupe?

Bila shaka ungeomba kutoka katika Maumivu unayopitia Sasa,

Yaweza usiwe ugonjwa, Ajali n.k

Bado Kuna Maumivu unayopitia ambayo kwa namna ya kawaida huwezi kusema,

Hivi unajua hata wewe unayo Pete ya namna hiyo?

"Unasema Nini?" Najua ndivyo unavyoniuliza,

Narudia Tena,

"Pete Ya Ajabu Hata Wewe Unayo"

Nina sema Pete ya namna hiyo unayo yaani uwezo wa kupata kila unachotaka upo,

Kwa sababu Nyenzo muhimu ya kukufanya upate unachotaka unayo,

Nayo Ni....

*Akili Yako*

Huo ndio ukweli halisi,

Sasa ili,

Ili uweze kila kitu unachotaka fanya hivi...

Hizi Ni hatua tatu ambazo unatakiwa kuzifuata,

1. Angalia tatizo unalopata.

Wewe unapitia tatizo gani?

Ni jambo gani ambalo ukilifikiria kuna wakati unashindwa la kufanya?

Maumivu gani unayahisi Sasa?

Hakuna haja ya kufikiria kwa sababu unajua Hali ya sasa.

2. Weka picha ya mbele baada ya kushinda yaani kufanikiwa,

Yaani ona katika Akili yako ukiwa umeshinda tatizo ambalo unapitia,

Ona ukiwa hauna Maumivu Tena.

Tayari?

3. Pumzika kwa amani ya kwamba limetokea,

Hivi unapokuwa una shida ya kiasi fulani Cha fedha na unaambiwa kuna mtu analipa utafanyaje?

Utafurahia si hivyo?

Huo ndiyo uhalisia,

Kiufupi hatua zipo hivi,

Tambua tatizo lako, Amini limetatuliwa na Kuwa na Amani Ya kushinda tatizo lako,

Hapo si umenielewa?

Rafiki ikiwa hujanielewa basi niambie,

Kanuni hii imeandikwa na Joseph Murphy katika kitabu,

"The Power Of Subconscious Mind"

Waweza kupata na kukisoma kitabu hicho.

Nakutakia asubuhi Njema!

Njozi Media.

*Huu ndiyo ushauri Bora ikiwa unataka kufikia Lengo lako...*Marafiki wawili John na Jeremy walikwenda kuomba kazi katika...
26/02/2023

*Huu ndiyo ushauri Bora ikiwa unataka kufikia Lengo lako...*

Marafiki wawili John na Jeremy walikwenda kuomba kazi katika kampuni Fulani,

Kwa habari nzuri wote wakapata kazi na kuianza,

Walifurahia kazi hiyo na kuona malengo yao yatatimia ndani ya muda mfupi,

Hali walizokuwa nazo kabla hazitajirudia Tena,

Baada ya kufanya kazi kwa takribani miezi mitatu Jeremy alipandishwa cheo ya bosi ya kampuni hiyo,

John Ali huzika sana,

Alijisemea hivi "Tumeajiriwa wote lakini anampandisha yeye cheo na Mimi anipandishi"

Manun'guniko yake yalipozidi Alaina Ni Bora aende kwa bosi kumuuliza,

Bosi huyu alikuwa ni mwelewa na alikuwa na hekima,

Akamwita Jeremy wakawa wote ofisini,

Watatu Yani John, Jeremy na Bosi.

Kisha bosi akamwambia John "Nenda Sokoni kaulize Bei ya matikiti"

John akaondoka,

Huyooo Sokoni,

Baada ya muda mfupi akarudi,

Ndipo akaulizwa "Ni Bei gani?"

Akajibu "Matikiti Ni Tsh. 3,000/="

" Sawa bosi akasema"

Kisha akamwambia Jeremy aende naye sokoni kuuliza Bei ya matikiti,

Jeremy alichukua muda kidogo kurudi,

Alipofika jibu hivi,

"Matikiti yapo ya Elfu tatu, Elfu Tano na Elfu sita...

Bei za matikiti zinatofautiana kutokana na uzito wa tikiti na ubora wake,

Matikiti ya elfu sita ambayo Ni mazuri yanakaribia kuisha,

Muuziaji amesema atatupunguzia Bei ikiwa tutawahi Sasa hivi.... "

Jeremy ak**aliza kujibu,

Mwishoni bosi akamuuliza John,

" Umeona mwenzako alivyojibu? Wote si mlienda Sokoni?"

Hatimaye John alielewa Ni kwa Nini Jeremy alipandishwa cheo,

Ya kwamba Jeremy alifanya zaidi ya alichoagizwa,

Wote wakaondoka ofisini wakiwa na amani,

Sasa nimetumia stori hii kwa sababu Nataka kukwambia sheria hii,

Ni sheria ya *Sababu na Athari *

Wazungu wanaiita *Cause and Effect*

Sheria hii ilianzia kutoka kwa mwanafalsafa Nguli "Aristotle"

Sheria inasema hivi...

"Kila Jambo linatokea kwa sababu, Na kila Athari Kuna sababu Fulani"

Katika Biblia sheria hii pia inaitwa Sheria ya Kupanda na Kuvuna,

" Utavuna ulichopanda"

K**a ilivyokuwa kwa John yaweza kuwa kwako pia,

Unajiuliza Ni kwanini unakwama?

Kwanini Kuna baadhi ya malengo hauyafikii?

Na wakati Fulani unafikiria kuwa umelogwa?

Hapana,

Ila Huenda sababu ipo hapa,

Unalengo kubwa sawa...

•Matendo Madogo Madogo unayofanya sio ya kukufanya ufikie Lengo lako,

•Aina ya watu ulio nao karibu Ni wale wanaokuridisha nyuma Bila ya wewe kujua,

•Hauna watu maalumu ambao unataka kujifunza kutoka kwao,
n.k

Sababu zaweza kuwa nyingi,

Jiulize swali Hili kwa kila unalofanya,

"Je hili ninalofanya sasa litanisaidia kufikia Lengo langu?"

Na uzuri wa sheria hii Ni kwamba,

Waweza badilisha Mambo leo,

Ambayo yatakufanya ufikie hatma yako,

Fikiria Sasa kwa Nini unakwama?

Lazima Kuna sababu fulani,

Unapoanza wiki hii fahamu sababu zinazokufanya ubaki hapo hapo Bila kufikia Lengo lako,

Umejifunza kitu hapa?

Umeelewa?

Usisite kunitumia Ujumbe,

Mpaka Wakati mwingine,

@ Ishi Njozi Media.

*Benki ya ajabu...*Tafakari hili,Unaamka asubuhi na kuona hauna fedha,Kisha unakumbuka kuna kiasi Cha fedha lipo benki n...
14/02/2023

*Benki ya ajabu...*

Tafakari hili,

Unaamka asubuhi na kuona hauna fedha,

Kisha unakumbuka kuna kiasi Cha fedha lipo benki na hivyo unapanga safari ya kwenda Kuchukua,

Ukiwa benki unashangazwa kuona Kuna kiwango kikubwa Cha fedha kuliko ulichokuwa nacho,

Yaani Ni Dola za kimarekani 86,000.

Na kwa tathmini ya haraka karaka,

Dola moja ya kimarekani Ni sawa na shilingi za kitanzania 2300/=

Haya,

86,000×2,300 = 198,720,000/=.

Ni MILION MIA MOJA TISINI NA NANE LAKI SABA YA ISHIRINI.

Unapokuwa umechanganyikiwa furaha siyo furaha, huzuni siyo huzuni,

Ndipo anakuja mfanyakazi wa benki na kukwambia,

"Kiasi hiki Cha fedha kipo Leo TU! Unatakiwa kuwekeza ndipo utapata kingine kesho, Usipowekeza utapoteza fedha zote"

Utawezaje kuwekeza fedha hiyo kwa siku moja?

Fikiria kwa sekunde tano!

1,2,3,4,5.

Unaweza kuona Ni ndoto ya abunuasi ukiambiwa hivyo...

Lakini kweli kabisa,

Kila mtu Ana,

•Masaa 24 kwa siku,

•Dakika 1440 kwa siku,

•Na Sekunde 86,000/= kwa siku.

Je huwa unatumia muda kwa usahihi,

Kuna usemi ambao huwa Ni "Time is Money"

"Muda Ni fedha"

Ila nitakwambia haupo sahihi kwa sababu hii,

"Muda hauongezeki Ni uleule kila siku, Lakini fedha waweza kupata kiasi chochote unachotaka kwa siku inategemea unatumia njia gani halali"

Hivyo chukua tahadhari,

Muda ulio nao sasa hautajirudia,

Wekeza kwa akili,

Yaani tumia muda kwa usahihi kabisa,

Najua waweza kusema Sasa kwamba

"Nitakuwa bize na Mambo yangu,sitapoteza muda"

Ninamnukuu Dan Lok huyu Ni Millionea anasema,,
"Kuwa bize Ni njia nyingine ya kuwa mvivu"

Sasa sikia,

Unakuwa bize masaa nane,Kumi,Kumi na mbili,n.k
Unafanya Nini?

Je baada ya kuulizwa matokeo utasema Ni yapi?

Maana wengi wanaosema "Niko bize" hatimaye huonekana hawajafanya kitu,

Yaani "Kuwa bize kwa hamna"

Waingereza wanasema "Busy for Nothing"

Anza Sasa tumia muda sahihi,

Naamin umejifunza kitu hapa,

Mpaka Wakati mwingine,

Njozi Media.

*Bustani ya Maajabu...*"Hata usipopanda chochote bustani hii inatoa matunda..."Umewahi kuiona bustani ya aina hiyo?Naami...
04/02/2023

*Bustani ya Maajabu...*

"Hata usipopanda chochote bustani hii inatoa matunda..."

Umewahi kuiona bustani ya aina hiyo?

Naamin unashangaa kweli ipo?

Na K**a ipo ikwapi?

Cha kushangaza Ni kwamba kila mtu anayo bustani hii,

Lakini Ni wachache Sana wanajua kwamba wanayo,

Wewe unaijua bustani hiyo?

Fikiria kwa dakika moja...

Nahesabu muda ⏱️.

Haya tuendelee,

"Linda sana Moyo wako kuliko yote ulindayo..."

Lilimsikia siku moja mchungaji akisema,

Kwa Nini?

Nimeelewa vizuri zaidi baada ya kufahamu hili...

"Akili ya mtu Ni sawa na Bustani"

Hili linashangaza au sio?

Ngoja nikwambie zaidi,

Bustani hii hutoa kila aina ya matunda MABAYA kwa MEMA,

Lakini,

Bustani hii hutoa matunda ya aina moja kwa Wakati...

Matunda MEMA au MABAYA.

Matunda mema Ni K**a, Mafanikio,Furaha,Amani,Tabia Njema n.k

Matunda haya yanapatikana kwa juhudi za dhati,

Yaani kukazana kweli kweli,

Hii huhusisha,

•Kuwa makini na unavyosoma,

•Kuwa makini na unavyosikia,

•Kuwa makini na unavyoona.

Ndiyo,Inahitaji JUHUDI KUBWA.

Wivu,Ubinafsi,Wizi,n.k haya Ni baadhi ya Matunda mabaya.

Aina hii ya Matunda hauhitaji nguvu Sana,

Ukikaa tu unayapata,

Yaani,

•Utasoma kila kitu,

•Kusililiza kila kitu,

•Kuangalia kila kitu...

Swali la kujiuliza kwa kila kitu unachofanya Ni....

"Je Ni matunda gani nitapata kwa hiki ninachofanya?"

Na kadri unavyo SOMA,SIKIA na hata KUANGALIA ni MBEGU UNAPANDA.

Bado Kuna tumaini ndugu,

Anza Sasa,

Kwa Nini uje kujilaumu kwa kutoamua kuwa na matunda mema?

Nini kinachokuzuia Kuchukua hatua Sasa ya kuwa na matunda mema?

Amua Sasa.

Inawezekana!.

Jumamosi Njema!.

@ Ishi Njozi Media.

24/01/2023
*Ikiwa Una HOFU kuhusu Mwaka 2023! Ujumbe huu NI KWA AJILI YAKO,*Ilikuwa ni wiki ya kwanza tu ya Mwaka 2023 ambapo ilita...
18/01/2023

*Ikiwa Una HOFU kuhusu Mwaka 2023! Ujumbe huu NI KWA AJILI YAKO,*

Ilikuwa ni wiki ya kwanza tu ya Mwaka 2023 ambapo ilitangazwa kwamba Mwaka huu utakuwa Ni Mwaka mgumu kuliko 2022,

Habari hizi zimetapakaa Mtandaoni,

*HOFU* Inaongezeka kwa wengi.

Huenda unajiuliza "Nifanyeje?"

Ukweli Ni huu...

Mambo yanapokuwa magumu au kuonekana magumu,

1. Ni fursa ya kuongeza umakini kwa kila unachotaka kufanya.

2. Unaandaliwa kuwa imara zaidi.

Hivyo basi badala ya kuwa na hofu ya maisha hasa 2023

Ongeza UMAKINI KWA KILA UFANYALO.

Kwamba Mwaka utakuwa mgumu haimaanishi hauwezi kumbana na kufikia NJOZI YAKO.

Natumaini umejifunza kitu hapa,

Yupo ambaye atakushukuru iwapo utamtumia Ujumbe huu mkumbuke,

Bado tuna endelea na kutoa huduma na kuona huduma yetu inakuwa Bora,

Mpaka Wakati mwingine,

@ Ishi Njozi Media.

Address

Mbeya

Opening Hours

Monday 05:00 - 11:00
Tuesday 05:00 - 11:00
Wednesday 05:00 - 16:00
Thursday 05:00 - 11:00
Friday 05:00 - 11:00
Sunday 05:00 - 11:00

Telephone

+255683506299

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ishi Njozi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to Ishi Njozi:

Share