23/08/2021
Je! Unahitaji vifaranga wa kienyeji au chotara wenye ubora wa asili kwa bei nafuu sana? Au Mayai yenye viwango? Au una uhitaji wa kutotolesha mayai yako? Tafadhari wasiliana nasi ili kukupatia huduma hizo
Tunauza vifaranga wa siku 1-30, Tunauza na Kutotolesha mayai, Tunauza kuku wakubwa, Tunakuza vifaranga wako hadi kufikia miezi 1-6. Gharama zetu ni nafuu MNO!
Visiga Kibaha
Kibaha
Be the first to know and let us send you an email when Kienyeji & Chotara Farm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.