28/03/2026
Ukipata muda kaa chini kwa kutulia arafu jifanye umekosea jaribu kusikiliza wimbo mpya alio shilikishwa Alikiba na Bien wimbo huo unaitwa finale katika wimbo huo Alikiba amesikika akiimba Leo silali it's your birthday, agizia dorime, bili ya Ali, hakikisha hiyo bill asipewe mwingine, leo silali it's your birthday agizia dorime natamba Ali, ubavu chuma upande mwanaume mashine eeee
Harmonize Mala zote anapokuwa na kajala basi anakuwa kwenye kilele cha ubora wake, katika wimbo huo Harmonize ameimba Mimi mwenyewe najipongeza, najua kuchagua, na pale nilipo teleza, siku litawaka jua wakileta jealous na kutubeza ndio ukubwa tunakua, my babe these girls ain't loyal kumbe walitaka pesa nikawapa moyo babe these girls ain't loyal, wapenda sifuri nyingi niliwapa moyo
Daimond platnumz kwenye ukuu wake katika wimbo uitwao happy kwa ufundi wake amesika akiimba Leo ni party after party, simu zenu sizitaki I'm so happy to day
Ni nadra sana kushuhudia wale big three wakitoa nyimbo kwa pamoja, tena kwa wakiwa wamepishana masaa kadhaa, ndio wanangu hapa Kiba, pale harmo, na huku ni Daimond, kwako wewe upi ni wimbo wako bora kati hizi nyimbo tatu? soka soka FX