Mhasibumuuzakahawa

Mhasibumuuzakahawa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mhasibumuuzakahawa, Coffee shop, kigamboni, Dodoma.

☕ Mhasibu Anayeuza Kahawa
📊 Coffee × Money × Lifestyle
🔥 Nakusaidia kunywa & kuuza kahawa smart
📲 Order / Business via WhatsApp 👇

https://wa.me/255699137540

Weekend vibes ✨Tunapoelekea kumaliza mwezi wa Machi, kumbuka hili: juhudi zako hazijapotea. Kila hatua ndogo uliyopiga i...
28/03/2026

Weekend vibes ✨

Tunapoelekea kumaliza mwezi wa Machi, kumbuka hili: juhudi zako hazijapotea. Kila hatua ndogo uliyopiga imekusogeza mbele.

Tumia hii weekend:

- Pumzika kidogo 🧘‍♂️
- Panga malengo ya mwisho wa mwezi 📊
- Jipe pongezi kwa ulipofika 🙌

Machi inaisha, lakini nafasi mpya zinaanza. Maliza kwa nguvu, anza Aprili ukiwa na moto zaidi 🔥



#ɴᴇᴠᴇʀɢɪᴠᴇᴜᴘ

04/02/2026

Kahawa inachoma mafuta au inaharibu homoni?

Ukweli wa pande zote mbili
Watu wengi hunywa kahawa kwa lengo moja:
👉 Kupunguza uzito.
Lakini kwa wengine, uzito unaongezeka badala ya kupungua.

Kwa nini?
🔬 Kahawa na mafuta (fat metabolism)
Caffeine:
👉Huongeza metabolism
👉Huchochea fat burning kwa muda
Ndiyo maana kahawa hutumika kwenye fat burners.

⚠️ Lakini kuna upande wa pili…
Kahawa inapoongeza cortisol kupita kiasi:
👉Mwili huhifadhi mafuta (hasa tumboni)
👉Homoni za uzazi (estrogen/testosterone) hupungua
👉Appetite (hamu ya kula) huongezeka
Hii hutokea zaidi kwa:
👉Watu wenye stress sugu
Usingizi hafifu
👉Homonal imbalance tayari ipo

❗ Tatizo halisi
Si kahawa yenyewe
Bali ni:
👉Kahawa kali bila virutubisho vya kusawazisha
👉Kahawa inayokunywa bila kuzingatia mwili wa mtu

✅ Ukweli muhimu
Kuna watu:
👉Kahawa huwasaidia kupunguza uzito
Kwa wengine, kahawa huharibu homoni na kuongeza mafuta
👉 Tofauti iko kwenye aina ya kahawa na mwili wa anayekunywa

📌 Kahawa ni chombo.
Inaweza kujenga au kuharibu —
inategemea ulicho nacho mkononi




03/02/2026

Je, wagonjwa wa kisukari hawaruhusiwi kunywa kahawa?

Ukweli ambao wengi hawajui
Kwa miaka mingi, wagonjwa wa kisukari wameambiwa:
❌ “Epuka kahawa.”
Lakini sayansi ya sasa inasema:
👉 Si kahawa zote ni mbaya kwa wagonjwa wa kisukari.
🔬 Kahawa na sukari ya damu
Caffeine inaweza:
👉Kuathiri insulin sensitivity
👉Kusababisha sukari kupanda kwa muda kwa baadhi ya watu
Lakini pia kahawa:
👉Ina antioxidants
👉Ina polyphenols
ambazo husaidia:
👉Kupunguza inflammation
👉Kuboresha utendaji wa seli

❗ Kwa nini wengine hupata shida?
Kwa sababu:
👉Wanakunywa kahawa yenye sukari nyingi
👉Kahawa imechanganywa na cream bandia
👉Kahawa imechomwa kupita kiasi → huongeza stress mwilini
Stress ↑ = insulin resistance ↑ = sukari kupanda

✅ Ukweli muhimu
Utafiti unaonyesha:
Wagonjwa wa kisukari wanaoelewa aina ya kahawa + muda wa kunywa
wanaweza kunywa kahawa bila madhara makubwa.
👉 Tatizo si kahawa
👉 Tatizo ni kahawa isiyozingatia physiology ya mgonjwa wa kisukari

📌 Funzo la leo:
Kisukari kinahitaji ufahamu, si marufuku ya jumla





02/02/2026

Kwa nini kahawa nyingi huonekana hatari kwa presha — na kwa nini si kahawa zote ni tatizo?

Watu wengi wakisikia “kahawa” na “presha”, akili yao inaunganisha moja kwa moja na hatari.
Lakini ukweli wa kisayansi ni huu:
👉 Sio kahawa yote husababisha presha kupanda.
👉 Tatizo kubwa ni aina ya kahawa + jinsi inavyoathiri mfumo wa stress wa mwili.
🔬 Kahawa inafanyaje kazi mwilini?
Kahawa ina caffeine.
Caffeine huamsha mfumo unaoitwa sympathetic nervous system — mfumo wa “fight or flight”.
Hii husababisha:
👉Mapigo ya moyo kuongezeka
👉Mishipa ya damu kujikaza
👉Presha kupanda kwa muda
Kwa mtu mwenye:
Stress ya muda mrefu
Usingizi duni
Presha isiyodhibitiwa
👉 Athari huwa kubwa zaidi.

❗ Tatizo halisi ni lipi?
Si caffeine peke yake.
Ni kahawa ambayo:
👉Imejaa kemikali
👉Haina antioxidants za kusawazisha mwili

Kahawa ya aina hii:
👉Huongeza oxidative stress
👉Huongeza cortisol (stress hormone)
👉Hufanya presha ionekane “inacheza”

✅ Ukweli muhimu
Ndiyo maana kuna watu:
👉Wakiacha kahawa → presha inatulia
👉Wengine wakibadilisha aina ya kahawa → presha inaimarika
👉 Hii inaonyesha kuwa aina ya kahawa ni muhimu kuliko kuacha kahawa kabisa.

📌 Swali la kujiuliza:
Je, presha yako inasumbuliwa na kahawa…
au na kahawa isiyo rafiki kwa mwili wako?





31/01/2026

🙏 ASANTENI SANA FOLLOWERS WANGU 🙏
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati followers wangu wote kwa kuwa nami kwa mwezi mzima wa January 2026.
Asanteni kwa likes, comments, shares, maswali, na support yenu ya hali ya juu.
Ushiriki wenu, maoni yenu na imani yenu vimenipa nguvu ya kuendelea kushare maarifa, uzoefu na fursa zenye manufaa kwenu.
January umefungua ukurasa mpya wa safari yetu ya mafanikio 💪✨
Tuendelee kushikamana, kujifunza na kukua pamoja.
Mwezi unaofuata tunaenda level nyingine! 🚀
Asanteni sana na Mungu awabariki 🤍




Afya haijengwi Kwa wiki moja.....
26/01/2026

Afya haijengwi Kwa wiki moja.....




Ngoja nikwambie Leo ....
23/01/2026

Ngoja nikwambie Leo ....




Kahawa nzuri hahitaji Sukari nyingi ........
19/01/2026

Kahawa nzuri hahitaji Sukari nyingi ........




Usidanganywe na Jina "SLIMMING"....
16/01/2026

Usidanganywe na Jina "SLIMMING"....




Sukari kwenye kahawa NI mkopo WA afya.....
13/01/2026

Sukari kwenye kahawa NI mkopo WA afya.....



Address

Kigamboni
Dodoma
41101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mhasibumuuzakahawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category