jimocompanyltd

jimocompanyltd Real estet

Nauza kiwanja Dodoma mjini Kiwanja kipo mji wa kiserikali Mtumba. Ni kiwanja cha kwanza barabara ya Dom Moro DarKiwanja ...
25/06/2025

Nauza kiwanja Dodoma mjini
Kiwanja kipo mji wa kiserikali Mtumba.
Ni kiwanja cha kwanza barabara ya Dom Moro Dar
Kiwanja kina Title Deed (HATI)
Kina sqr mita 753, zaidi ya mita 41 zinatazama barabara ya lami k**a inavyoonekana kwenye Raman hapo juu
Bei 78Mil. Njoo ukague site maongezi yapo.

Nauza Viwanja Dodoma, vipo katikati ya mji swa kiserikali na ikulu panaitwa Vikonje BViwanja vipo mita chache (mita 800)...
18/05/2025

Nauza Viwanja Dodoma, vipo katikati ya mji swa kiserikali na ikulu panaitwa Vikonje B
Viwanja vipo mita chache (mita 800) kutoka Morogoro Road
Vina ukubwa kuanzia sqr mita 700 na kuendelea
Huduma za Umeme, Barabara na maji hadi kwenye kiwanja zipo
Viwanja vina savei form za jiji
Bei 8Mil

Kiwanja kizuri sana nakiuza Mtumba  nyuma ya sheri ya Weruweru  bei 25Mil.  Sqm 821
08/01/2025

Kiwanja kizuri sana nakiuza Mtumba nyuma ya sheri ya Weruweru bei 25Mil. Sqm 821

Plot for sell at Nzuguni B dodoma, pazuri sana sio pa kupaacha hapa, umeme, maji n barabara vipo hapo hapo, majiran zake...
08/01/2025

Plot for sell at Nzuguni B dodoma, pazuri sana sio pa kupaacha hapa, umeme, maji n barabara vipo hapo hapo, majiran zake wote wamejenga nyumba za kisasa, bei yake ni poa sana. Karibu!

Nyumba inauzwa ipo mkonze dodoma jiran sana na stand ya daladala ya mkonze ina vyumba 5 vya kulala na vyote vina wapanga...
08/01/2025

Nyumba inauzwa ipo mkonze dodoma jiran sana na stand ya daladala ya mkonze ina vyumba 5 vya kulala na vyote vina wapangaji

Plot for sell at IYUMBU near NHC Karibu ujipatie kiwanja katika mji wa dodomaBlock AD  plot no 995 kina ukubwa wa sqr mi...
08/01/2025

Plot for sell at IYUMBU near NHC
Karibu ujipatie kiwanja katika mji wa dodoma
Block AD plot no 995 kina ukubwa wa sqr mita 1042.
Kina hati (title deed)
Kipo sehem nzuri sana na ni corner plot ya barabara kubwa za mita 40 kwa 40
Tunakiuza 35Mil tu.

Viwanja Jiran sana na Ring road (Barabara ya mzunguko) Dodoma, upande wa NALA.Vipo vitatu1. Plot no 495 Kina sqr mita 60...
08/01/2025

Viwanja Jiran sana na Ring road (Barabara ya mzunguko) Dodoma, upande wa NALA.
Vipo vitatu
1. Plot no 495 Kina sqr mita 600 Price 6.5Mil
2. Plot no 498 Kina sqr mita 932 Price 7.8Mil
3. Plot no 500 Kina sqr mita 1089 Price 8.5Mil
Vina savei form
Vipo jiran sana (mita chache kutoka singida road)
Tupigie 24/7 tukupeleke site 0753 364 953
Bei zetu ni rafiki sana kwanza ona kiwanja then tukae mezan

Viwanja vya kwanza Ring road (Barabara ya mzunguko) Dodoma, upande wa NALA.Vipo viwili1. Kina sqr mita 757 (ask for pric...
08/01/2025

Viwanja vya kwanza Ring road (Barabara ya mzunguko) Dodoma, upande wa NALA.
Vipo viwili
1. Kina sqr mita 757 (ask for price)
2. Kina sqr mita 1880 (ask for price)
Vina savei form
Vipo jiran sana (mita chache kutoka singida road)
Tupigie 24/7 tukupeleke site 0753 364 953
Bei zetu ni rafiki sana kwanza ona kiwanja then tukae mezan

08/01/2025

Kiwanja kizuri sana tunakiuza kipo Iyumbu cha pili lami sqm 1,200 fens pande mbili bei bei 50m🏃‍♂️🏃‍♂️

Tunauza kiwanja Dodoma.Sqm 375 Ilazo Extension bei 18Mil Document: hati
30/12/2024

Tunauza kiwanja Dodoma.
Sqm 375 Ilazo Extension bei 18Mil
Document: hati

*Plots for sell dodoma!*Mradi wetu wa viwanja upo Vikonje B, njia ya DSMViwanja vipo mita 500 kutoka Dar roadVimepimwa n...
30/12/2024

*Plots for sell dodoma!*

Mradi wetu wa viwanja upo Vikonje B, njia ya DSM

Viwanja vipo mita 500 kutoka Dar road
Vimepimwa na vina documents zote

Kwa sasa vimebaki viwanja 03
1. Sqr mita 696
2. Sqr mita 735
3. Sqr mita 745

OFFER!! Hapa tunauza sqr mita 1 kwa 11,000/= Tu.

Thats means kiwanja cha sqr mita 696 tunakiuza 7,656,000/=

Karibu sana kwa maongezi/raman ya eneo na kupelekwa site ni 24/7

Piga/Whatsapp: +255655364953 /
255753364953

Plot for sell, dodoma. Hapa ni medeli jiran na shoppers plaza, pazuri sana kwa uwekezaji. Njoo tuzungumze kiwe chako
30/12/2024

Plot for sell, dodoma.
Hapa ni medeli jiran na shoppers plaza, pazuri sana kwa uwekezaji. Njoo tuzungumze kiwe chako

Address

Dodoma
1249DODOMA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when jimocompanyltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to jimocompanyltd:

Share