Neth Sweet Cake

Neth Sweet Cake Tunapatikana Kiwalani Minazi Mirefu, Dar es Salaam. πŸ“ž Agiza sasa: 0696879571 / 0760705750

πŸŽ‚ FURAHA SAFI YA MTEJA! πŸŽ‰ Leo tumefanya delivery ya keki hii spesheli, na furaha ya mteja wetu ilitufanya tucheke wote! ...
11/06/2025

πŸŽ‚ FURAHA SAFI YA MTEJA! πŸŽ‰
Leo tumefanya delivery ya keki hii spesheli, na furaha ya mteja wetu ilitufanya tucheke wote!
πŸ’– Asante sana kwa maoni mazuri uliyotoaβ€”furaha yako ni msukumo wetu wa kila siku! πŸ™Œ

K**a na wewe ungependa huduma ya kipekee k**a hii, usisite kuwasiliana nasi!

Na kwa wale waliopendezwa na kazi yetu, tafadhali tusaidie kwa kututangaza kwa marafiki au familiaβ€”neno lako ni nguvu yetu! πŸ’«

πŸ“ž Wasiliana: 0696 879 571 πŸ“Έ

🧁 Neth Sweet Cake – Uaminifu na Ubora kwa Wateja Wetu! πŸŽ‚βœ” Tunatimiza Ahadi! Pokea keki yako halisi k**a ulivyoagiza – ub...
07/06/2025

🧁 Neth Sweet Cake – Uaminifu na Ubora kwa Wateja Wetu! πŸŽ‚

βœ” Tunatimiza Ahadi! Pokea keki yako halisi k**a ulivyoagiza – ubora usio na shaka!
βœ” Huduma ya Kuaminika! Maombi yako yanashughulikiwa kwa uangalifu na kwa wakati.
βœ” Wateja Wetu, Fahari Yetu! Tumethibitisha kuwa tunaaminika, na wateja wetu wanaridhika.

Ahsante kwa kutuamini

πŸŽ‚βœ¨ Ladha ya Ubora, Muonekano wa Kuvutia! βœ¨πŸŽ‚ Pata keki yenye muonekano wa kipekee na ladha inayosisimua! 🀩πŸ₯³ πŸ’° Bei: 30,000...
01/06/2025

πŸŽ‚βœ¨ Ladha ya Ubora, Muonekano wa Kuvutia! βœ¨πŸŽ‚

Pata keki yenye muonekano wa kipekee na ladha inayosisimua! 🀩

πŸ₯³ πŸ’° Bei: 30,000/= πŸ“
Mahali: Kiwalani, Minazi Mirefu - Karibu na stand ya bajaji zinazoenda Tandika

πŸ“ž Piga simu sasa: 0696 879 571

Pia tunapokea orders
Usikose kuonja ubora huu! πŸ₯‚πŸŽ‰

Karibu ujipatie Cake tamu kwa bei poa
01/06/2025

Karibu ujipatie Cake tamu kwa bei poa

Karibuni Guys
28/05/2025

Karibuni Guys

Karibu tukuhudumie. Order pia tunapokea πŸ“ž 0696879571 / 0760705750. Tunapatikana Kiwalani Minazi Mirefu, karibu na stand ...
28/05/2025

Karibu tukuhudumie. Order pia tunapokea

πŸ“ž 0696879571 / 0760705750. Tunapatikana Kiwalani Minazi Mirefu, karibu na stand ya bajaji za kuelekea Tandika!"

"Keki Tamu na ya Kuvutia! πŸŽ‚πŸ₯°
28/05/2025

"Keki Tamu na ya Kuvutia! πŸŽ‚πŸ₯°

Hii siyo keki tu, ni masterpiece ya mapishi! πŸŽ¨πŸ°πŸŽ‚ Gharama 25,000 TZS tu! Pata yako sasa kwa πŸ“ž 0696879571 / 0760705750. Tu...
28/05/2025

Hii siyo keki tu, ni masterpiece ya mapishi! 🎨🍰

πŸŽ‚ Gharama 25,000 TZS tu! Pata yako sasa kwa πŸ“ž 0696879571 / 0760705750. Tunapatikana Kiwalani Minazi Mirefu, karibu na stand ya bajaji za kuelekea Tandika!"

Address

Kiwalani, Minazi Mirefu, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
12123

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neth Sweet Cake posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category