WISE Sound

WISE Sound WISE Sound tupo wa kukupatia huduma bora za Muziki na MC katika matukio mbalimbali ya kijamii, mikutano ya hadhara n.k. KWA NINI SISI?

Ikiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 11, Wise Sound ni chaguo bora na la kuaminika zaidi WISE SOUND
Wise Sound ni kampuni yako kwa ajili ya matukio yote yanayohitaji huduma ya ukuzaji wa sauti, nyimbo na burudani kwa ubora wa hali ya juu. Ni kampuni pekee kwa ajili ya matukio yote ya Harusi, Sendoff, kitchen party, ubarikio, mikutano, vikao, makongamano na hata misiba inayousisha nyimbo za kikristo n

a za kitaifa tu. WISE Sound ni kampuni pekee inayokupa ujasiri wa kazi yenye ubora wa hali ya juu naya kipekee, huku ikikuhakikishia kutokukuharibia tukio lako kwa kuweka miziki ya kidunia. HUDUMA ZETU
Tunakodisha vyombo vya muziki na MC. Vyombo vya muziki vinapatikana katika madaraja(classes) tofauti tofauti kadiri ya uhitaji wako. DARAJA LA VYOMBO NA ENEO/IDADI YA WATU
CLASS A MUSIC SET - Hadi watu 300
CLASS B MUSIC SET - Hadi watu 500
CLASS C MUSIC SET - Zaidi ya watu 500

UPATIKANAJI
Tunapatikana Dar Es Salaam eneo lolote utakalo taka, tutakufikia na kukufanyia huduma bora na ya kipekee. Uongozi wa WISE Sound utafurahi kuwasiliana nawe na kukupa ushauri bure kuhusiana na maswala ya muziki, vyombo na MC katika tukio lako. MAWASILIANO:
(Executive Director); 0786 /0715 988 586 (Technical Director)
Email: [email protected] Web page: www.facebook.com/wise-sound

*** GHARAMA ZETU NI NAFUU MNO NA TUNAZINGATIA UBORA KWANZA***

Kongamano la Uimbaji,Jimbo la Mashariki  makanisa ya PHM.Sound by Confident choice
01/05/2026

Kongamano la Uimbaji,
Jimbo la Mashariki makanisa ya PHM.

Sound by

Confident choice

Young Professionals Gathering2026. THY KINGDOM COME Serving God and People.Hosted by PURPOSE DISCOVERYSound byWisesoundt...
25/04/2026

Young Professionals Gathering
2026.
THY KINGDOM COME
Serving God and People.

Hosted by
PURPOSE DISCOVERY
Sound by
Wisesoundtz
Confident choice

Wedding Party Patience & Lightness   Confident ChoiceMc Kamukulu
14/04/2026

Wedding Party
Patience & Lightness


Confident Choice
Mc Kamukulu

Siku 7 za Mkutano wa Injili Kibiti - Pwani na Casfeta Tayomi Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
31/03/2026

Siku 7 za Mkutano wa Injili Kibiti - Pwani na Casfeta Tayomi Chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Dj tunaye na tunatamba naye,,,,🏃💯🎧💻Kwa shughuli mbalimbali kwa mahitaji ya mziki/soundHit us on Instagram and Facebook  ...
12/12/2025

Dj tunaye na tunatamba naye,,,,🏃💯🎧💻

Kwa shughuli mbalimbali kwa mahitaji ya mziki/sound
Hit us on Instagram and Facebook
☎️📠 0777 701 702

03/12/2025

Book Launch "Set me on Fire" 🔥 By Advocate Patrick SeuyaSound by
24/11/2025

Book Launch
"Set me on Fire" 🔥
By Advocate Patrick Seuya

Sound by

19/11/2025

Tupo kukuhudumia

Wakati wa maandalizi ya party,,,,,,Ni party after party
14/11/2025

Wakati wa maandalizi ya party,,,,,,
Ni party after party

14/11/2025

Combination ya Dj, Mc na Sound Engineer


Wedding Party Usiku wa Emmanuel & Rose 🌹.
10/11/2025

Wedding Party
Usiku wa Emmanuel & Rose 🌹.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255754711184

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WISE Sound posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to WISE Sound:

Share