DSM Brokers

DSM Brokers DSM BROKERS tunakusaidia kuuza mali yako Au kununua kwa haraka na uhakika Kama viwanja mashamba nyumba magari na vifaa mbalimbali vya Nyumbani ofisini nk

25/09/2026

NDUGU MWEKEZAJI WA KILIMO NA UFUGAJI....

HII NI KWA AJILI YAKO WEWE.....

NJOO UWEKEZE KWENYE RANCH HII YENYE ENEO LA EKARI 900

IPO MKOA WA PWANI, WILAYA YA BAGAMOYO, BWEWE

ENEO LINA HATI SAFI KUTOKA WIZARA YA ARDHI....

NDANI YA ENEO KUNA NG'OMBE 60 NA MBUZI 46. ENEO LA EKARI 400 LIMESAFISHWA TAYARI. KUNA NYUMBA YA WAFANYAKAZI NA STORE....

BEI HAPA NI BIL 1.35 MAZUNGUMZO KWA SERIOUS BUYER TU....

GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE NI 100K....

UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA NAMBA 0784 919 453 NORMAN CALL AU WHATSAPP...




22/09/2026

Nnaomba kutambulisha kwenu page yetu hii mpyaaa....๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Shahidione Machines Shahidione Machines

K**a page yetu rasmi itakayodeal na uuzaji wa mitambo Aina mbalimbali,, k**a vile mitambo kwa ajili ya ujenzi, uchimbaji, kilimo nk....

Unaweza kutembelea hapo na kuifollow kwa ajili ya kupata taarifa zinazohusu mitambo hiyo hapo.....

Tunazo mashine mbali mbali k**a excavators, wheel loader, bulldozers, generators nk....

Kwetu utapata mashine mpya na hata used ukitaka.....

Pia sambamba na hiyo kuna page ndugu...๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

shahidione_cartrack
shahidione_cartrack

Ambapo hapa tutajishughulisha na usalama wa vyombo vyako vya usafiri na mitambo,, mfano magari yako ya binafsi na biashara, matrekata na magreda, pikipiki na bajaji nk....

Tutakufungia mfumo wa ulinzi kwa chombo chako, kuondokana kabisa na matatizo wa wizi wa chombo husika, wizi wa mafuta kwa vyombo vya biashara, udanganyifu wa madereva nk..nk...

Tufuatilie katika page hizo....

Karibu....

Namba ya mchongo ni ile ile 0784 919 453




19/09/2026
04/09/2026

Haya jamani vimebaki vichache tuvishambulie....

Viwanja vya bei poaa...kibaha kwa Mathias msangani mtaa wa madina mil 2.5 tu kwa 20ร—20

Na vigwaza 20ร—20 mil 2.9 tu...

Nipigie weekend hii tumalize...

Call now 0784 919 453 .

UNAHITAJI GENERATOR LA UKUBWA GANI???Niambie nikupe bei,..Hapa pekee ndio utapata bei nafuu kuliko kokYapo ya ukubwa tof...
31/08/2026

UNAHITAJI GENERATOR LA UKUBWA GANI???

Niambie nikupe bei,..

Hapa pekee ndio utapata bei nafuu kuliko kok

Yapo ya ukubwa tofauti,, kva 20 mpaka 300+...

Unaweza kutumia kupata nishati ya umeme katika nyumba yako ta kuishi, nyumba ya biashara, k**a lodge, hotel, apartments nk... unaweza kutumia katika kituo chako cha mafuta (filling station)... unaweza kutumia migodini, nk nk....

Wasiliana na mtaalamu wako akushauri ukubwa wa generator au niambie matumizi yako nikushauri size unayohitaji nikupe na bei....

Warrant ni miaka 2, na free delivery kwa wakazi wa Dar,, na offa yingine nyingi...

Nipigie 0784 919 453....

28/08/2026

MDAU WANGU WA THAMANI, USIKUBALI HII NAYO IKUPITE.....

MDAU WETU ANA SHIDA INATAKIWA PESA HARAKA SANAAA

PLOT NZURI KUBWA INA HATI INAUZWA BEI YA KUTUPA...SQM 1928

BUNJU B SOKONI

BEI MIL 100 TU

GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE 50K

NIPIGIE SASA HIVI 0784919453

27/08/2026

UNAHITAJI ENEO LA BEI NZURI KARIBU NA BANDARI KAVU YA KWALA???

BASI JIBU NI HILI HAPAAA...

Ekari 15 zipo vigwaza kwala bandari kavu...

Ni km 1.5 tu kutoka inapoishia hifadhi ya eneo la serikali ...

Na mita 400 tu kutoka barabara hiyo inayoendelea kutoka Vigwaza kupitia kwala kwenda kutokezea chalinze...

Bei mil 97.5...

Gharama za kupelekwa site 50k...

Tupigie sasa... 0784 919 453

26/08/2026

KWA MIL 300 TU UNAPATA EKARI 200 ZA UWEKEZAJI.....

NDIO HUJASOMA VIBAYA...

HAAPA NI CHALINZE MKOA WA PWANI, PINGO....

KM 6.5 KUTOKA MOROGORO ROAD...

BARABARA HIYO UNAWEZA KUTOKEA BANDARI KAVU KWALA, NK

MAENEO NI MAPORI, LKN WANAOWAHI NDIO WANAOPATA BEI HIZI....

GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE 50K HAIHUSISHI USAFIRI....

NIPIGIE TUPANGE KWENDA SITE 0784 919 453


NYUMBA INAUZWA BEI POAAA....INA VYUMBA 2 VYA KULALA NA SEBULE,,NJE KUNA CHUMBA KIMOJA, VYOO NA MABANDA....INA FENSI NA G...
24/08/2026

NYUMBA INAUZWA BEI POAAA....

INA VYUMBA 2 VYA KULALA NA SEBULE,,
NJE KUNA CHUMBA KIMOJA, VYOO NA MABANDA....INA FENSI NA GETI,

NDUGU YANGU UNAESUBIRI PICHA ZA KITAALAMU ZIPO ZITAKUJA USIWE NA WASI๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒHII POST NI YA WANAOCHUKUA HATUA MAPEMA....HILI J...
23/08/2026

NDUGU YANGU UNAESUBIRI PICHA ZA KITAALAMU ZIPO ZITAKUJA USIWE NA WASI๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

HII POST NI YA WANAOCHUKUA HATUA MAPEMA....

HILI JENGO NI APARTMENTS, MRADI ULIOTAYARI KWA MAVUNO...

APARTMENTS ZIPO 8, KILA MOJA INA VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA SELF, SEBULE, JIKO, NA CHOO CHA PUBLIC

NI YOMBO SIGARA, HAPA NI JIRANI SAANA NA AIRPORT YA JIJI LA DAR

BEI NI MIL 470 TU CHAP CHAP...

GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE 50K

CALL ME NOW 0784 919 453

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 15:30

Telephone

+255658582977

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DSM Brokers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to DSM Brokers:

Shortcuts

Share