Kuku_Biashara_Dsm

Kuku_Biashara_Dsm Wauzaji na wasambazaji wa kuku aina zote Dsm Kimara Temboni

07/09/2026

Kuku biashara tz

Kwa mahitaji ya ndege wafugwao # aina mbalimbali k**a vile kuku , bata mzinga, bata bukini n.k

Tupo Dsm Kimara Temboni
📞 0759 617984

07/09/2026

Feeders( Vyombo vya chakula vya kuku,bata,kanga nk..
🤳0759617984

Faida ya vyombo hivi ni:

■ Kina uwezo wa kuchukua chakula kingi*
■ kuku hawamwagi chakula wakiwa wanakula*
■Sio rahisi kuingiza uchafu kwenye chakula*
■Kinachukua nafasi ndogo bandani*
■Chombo kimoja kina uwezo wa kuhudumia kuku 15-20.*
■Hakina garama kubwa kukinunua*

Utakipata kwetu kuanzia Tsh. @ 10,000/=Tu

Delivery ipo popote ndani na nje ya DSm

Tupo Dsm Kimara Temboni # 0759 617 984

01/09/2026

Kuku_biashara_tz Karibu tukuhudumie🙏🏻

Kwa mahitaji ya Vifaranga wa Kroiler Pure,Sasso,Kienyeji,Tanbro, Broiler, Layers, Brahma Giant, Kanga, Bata mzinga n.k

Popote ulipo tunakufikia kwa garama nafuu.

Toa oda yako upate vifaranga bora na safi.

Tupo Dsm Kimara Temboni # 0759 617984.

01/09/2026

Delivery To Kibamba

Kuku waliomaliza chanjo zote

Utapata idadi utakayotaka

Delivery nafuu na ya haraka inapatikana

Tupo Dsm Kimara Temboni

📞0759 617984

01/09/2026

Delivery To Zanzibar

Kuku_biashara_tz Karibu tukuhudumie🙏🏻

Kwa mahitaji ya Vifaranga wa Kroiler Pure,Sasso,Kienyeji,Tanbro, Broiler, Layers, Brahma Giant, Kanga, Bata mzinga n.k

Popote ulipo tunakufikia kwa garama nafuu.

Toa oda yako upate vifaranga bora na safi.

Tupo Dsm Kimara Temboni # 0759 617984.

27/08/2026

Kuku boashara tz

Popote Ulipo Tunakufikia

Tupo Dsm Kimara Temboni

📞0759 617984

24/08/2026

Sifa za Kroiler ✅✅

* Anakua haraka kuliko kuku wa kienyeji wa kawaida.
* Ana nyama nyingi na mwili mkubwa.
* Anaweza kuuzwa mapema, hivyo mzunguko wa fedha unakuwa wa haraka.
* Nyama yake inapendwa kwa sababu ina ladha nzuri, kati ya broiler na kuku wa kienyeji.
* Anafaa kwa biashara ya nyama na pia anaweza kutumika kwa uzalishaji wa mayai .
* Kwa uangalizi na chakula bora, anaweza kuwa na faida nzuri kwa mfugaji.

Kwa ufupi, kroiler ni chaguo zuri kwa biashara kwa sababu anakua kwa kasi, ana uzito mzuri na soko lake ni zuri..

Kbtz #0759 617984

24/08/2026

KUKU BIASHARA TZ TUNAKULETEA
👇
MASHINE ZA KUTOTOLESHA MAYAI/ MASHINE ZA KUANGULIA VIFARANGA

FULL DIGITAL AUTOMATIC
MASHINE..

INATUNZA JOTO KWA MUDA MREFU ENDAPO UMEME UKIKATIKA

INAUWEZO MKUBWA WA KUTOTOA MAYAI AINA ZOTE KUKU, KANGA, BATA, KWARE, NJIWA N.K

MASHINE ZERU ZINA UFANIS MKUBWA WA KUTOTOA MAYAI ZAIDI YA 90%

NI TOLEO LA KISASA NA NI RAHISI
KUTUMIA ✅️✅️

IMETENGENEZWA KWA MATERIAL MAGUMU NA IMARA

✅️Mayai 30 Bei 250,000/=
✅️Mayai 64 Bei: 350,000/=
✅️Mayai 120 Bei: 450,000/= ya material ya Plastic
✅️Mayai 120 Bei: 750,000/= - Body ya chuma
✅️Mayai 176 Bei: 950,000/=
✅️Mayai 264 Bei: 1,100,000/=
✅️Mayai 352 Bei: 1,300,000/=
✅️Mayai 440 Bei: 1,500,000/=
✅️Mayai 528 Bei: 1,600,000/=
✅Mayai 880 Bei: 1,800,000/=
✅️Mayai 1,056 Bei: 2,300,000/=
✅️Mayai 1,584 Bei: 3000,000/=
✅️Mayai 2,112 Bei 3,800,000/=
✅️Mayai 3,168 Bei: 4,800,000/=
✅️Mayai 4,224 Bei 5,800,000/=
✅️Mayai 5,280 Bei: 6,500,000/=
✅️Mayai 10,000 Bei: 14,500,000/=

➡️wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa;

🤳 0759 617 984

Tupo DSM Kimara Temboni.. mikoani pia Tunasafirisha kwa utaratibu mzuri


..

Address

Kimara B
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:30
Tuesday 08:00 - 18:30
Wednesday 08:00 - 18:30
Thursday 08:00 - 18:30
Friday 08:00 - 18:30
Saturday 08:00 - 18:30
Sunday 11:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kuku_Biashara_Dsm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category