New Genesis food suppliers

New Genesis food suppliers Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from New Genesis food suppliers, Arusha.

🫑
13/12/2025

🫑

Congratulations to my president and vice president Mungu amekua nanyi siku zote Nchi ipo salama wa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tuna Iman...
04/11/2025

Congratulations to my president and vice president Mungu amekua nanyi siku zote Nchi ipo salama wa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tuna Imani na wewe Mungu aendelee kuwapa Afya njema ili muendele kulitumikia Taifa letu katika Amani upendo na mshikamano kazi na utu tuna songa mbele 🫑🫑🫑

Kumbukizi hii au maadhimisho haya ya baba wa Taifa letu Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE Tana tukumbusha mengi sana kila...
14/10/2025

Kumbukizi hii au maadhimisho haya ya baba wa Taifa letu Mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE Tana tukumbusha mengi sana kila ifikapo wakati K**a hii tuna muombea kwa Mungu azidi kumpa pumziko la Amani

Mapema sana. Katika uzinduzi wa kampeni nyumbani kata ya seela  Sing’isi Nikiwa K**a mgeni rasmi nikihakikisha namuombea...
16/09/2025

Mapema sana. Katika uzinduzi wa kampeni nyumbani kata ya seela Sing’isi Nikiwa K**a mgeni rasmi nikihakikisha namuombea rais ,Mbunge pamoja na diwani kura za kujaa wakati nazindua kampeni hizi wana seela sing’isi wameapa kura zote ni kwa mgombea wetu kwa nafasi ya urais Dkt.SAMIA SULUHU HASSAN lakini pili ni kwa. Mgombea ubunge wetu jimbo la arumeru mashariki Mh.Joshua Samwel Nassari pamoja na diwani wetu Mh Alex Mbise βœ…οΈβœ…οΈβœ…οΈ

Mimi nachekaga tuπŸ˜‚πŸ˜‚
12/09/2025

Mimi nachekaga tuπŸ˜‚πŸ˜‚

OCTOBER TUNA TIKI KWA MAMA SAMIA  WEMBE NI ULE ULE
11/09/2025

OCTOBER TUNA TIKI KWA MAMA SAMIA WEMBE NI ULE ULE

SSH 2025.  2030.   mgombea wetu pamoja na mgombea mwenza   . Wabunge na Madiwani tuna kazi moja tu. October ni  kutiki  ...
30/08/2025

SSH 2025. 2030. mgombea wetu pamoja na mgombea mwenza . Wabunge na Madiwani tuna kazi moja tu. October ni kutiki tu.

Rais tunae na Rais ni mmoja tu   na makamu wetu ni mmoja tu  watekeleza ilani kwa vitendo βœ…βœ…βœ…  βœ…βœ…βœ…  βœ…βœ…βœ…  βœ…βœ…βœ…  βœ…βœ…βœ…  βœ…βœ…βœ…  ...
09/08/2025

Rais tunae na Rais ni mmoja tu na makamu wetu ni mmoja tu watekeleza ilani kwa vitendo

βœ…βœ…βœ…
βœ…βœ…βœ…
βœ…βœ…βœ…
βœ…βœ…βœ…
βœ…βœ…βœ…
βœ…βœ…βœ…
βœ…βœ…βœ…
βœ…βœ…βœ…

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

08/08/2025
Kipekee kabisa nikishukuru chama changu  Chama cha  mapinduzi  kwa  kunipa  imani  na kuona  nina faa  na nina Tosha kuw...
03/08/2025

Kipekee kabisa nikishukuru chama changu Chama cha mapinduzi kwa kunipa imani na kuona nina faa na nina Tosha kuwania nafasi hii ya ubunge nyumbani kwetu hii imekua Baraka sana lakini pia. Hii ina wapa hamasa vijana wenzangu . Niwaombe kwa unyenyekevu mkubwa wote mnao husika na upigaji kura za maoni twendeni tukapige kura kwa Johnson Exaud Sarakikya tuibadilishe meru yetu
Asanteni sana na Mungu awabariki


πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ
βœ…βœ…βœ…

Hodii wilaya ya MeruKodi kyeyi.
28/06/2025

Hodii wilaya ya Meru

Kodi kyeyi.

Address

Arusha

Telephone

0693413114

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New Genesis food suppliers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Restaurant

Send a message to New Genesis food suppliers:

Share