PWAN BENCH CAST

Website

PWAN BENCH CAST ☑️Journalist full football updates

☑️BUSINESS MAN/ADVERTISER

☑️PUBLIC SPEAKER 🎤

☑️SONG WRITER🎶

☑️EDITOR &PHOTO/VIDEOGRAPHER

23/09/2026


media

Success in music 🎶💪 This is something to take an example; Lava Lava tanzanian artist had fulfill his dream and self-prom...
17/09/2026

Success in music 🎶💪
This is something to take an example; Lava Lava tanzanian artist had fulfill his dream and self-promiss of building a modern classic house to him mom and name the house MAMA BaiTE

FOLLOW PWAN BENCH CAST

16/09/2026

Priorities your efforts to your creators GOD AND PARENTS

16/09/2026

😂

Hali ya kuzuka kwa moto katika shule za upili/sekondari zimezidi kuongezeka hasa kuanzia mwaka wa 2016 adi mwaka wa 2016...
12/09/2026

Hali ya kuzuka kwa moto katika shule za upili/sekondari zimezidi kuongezeka hasa kuanzia mwaka wa 2016 adi mwaka wa 2016 ikirepodiwa kwamba mwaka 2026 ndio mwaka ulikua na idadi kubwa ya uharibifu na hasara asa ya kupoteza uhai kwa wanafunzi wasio hatia na kupotea kwa vifaa vya dhamani ya mabilioni
Imesadikiwa shida hii imekuwa janga lililo kosa kushuhhukikiwa ipasavyo kwa kuwa visa hivyo vimetokea Kila mwaka ndani ya miaka kumi
Je wizara ya elimu na usalama wa ndani katika taifa na uongozi kwa ujumla inashindwa kukabiliana na janga hili au nkutovalia nguja swala hili kisawsawa!!?
Changia katika


PWAN BENCH CAST

CHENDA CHENDA IS BACK! Last year was nothing short of spectacular the energy, culture, music and unforgettable moments m...
08/09/2026

CHENDA CHENDA IS BACK!

Last year was nothing short of spectacular the energy, culture, music and unforgettable moments made Chenda Chenda a celebration to remember!

But this year… we’re taking it a notch higher!

Expect bigger celebrations, more entertainment, vibrant cultural experiences and even more unforgettable moments.

If you thought last year was amazing, wait until you see what we have in store!

Tukutane Pwani University!


FOLLOW 👉PWAN BENCH CAST
✍️Khan Khan

Kenyan President William Ruto ameagiza Tata Chemicals kumaliza shughuli zake nchini Kenya, akidai kampuni hiyo ya Kihind...
05/09/2026

Kenyan President William Ruto ameagiza Tata Chemicals kumaliza shughuli zake nchini Kenya, akidai kampuni hiyo ya Kihindi imeshindwa kuleta maendeleo ya viwanda na ajira kwa wananchi licha ya kuwepo nchini kwa zaidi ya miaka 100. Rais Ruto alieleza hayo alipotembelea Kaunti ya Kajiado siku ya Alhamisi, akisema serikali yake itawaletea wawekezaji wapya kuchukua nafasi ya Tata Chemicals na kuanzisha viwanda vya kutengeneza kioo na kemikali

Tata Chemicals ilikuwa ikimiliki kiwanda cha Magadi Soda ambacho kinatoa soda ash, kemikali inayotumika kwenye utengenezaji wa kioo, sabuni na bidhaa nyingine. Serikali ilimtolea agizo hilo Tata Chemicals kufuatia masharti kadhaa ambayo hayakuwa yametimizwa, ikiwemo malipo ya kodi, utunzaji wa mazingira na ajira kwa wananchi

Tata Chemicals imesema inaheshimu mamlaka ya serikali ya Kenya na ipo tayari kujadiliana ili kutatua

Kwa sasa, haijulikani ni nini kitakohusu wafanyakazi wa Tata Chemicals nchini Kenya, lakini kampuni imesema kipaumbele chake ni ustawi wa wafanyakazi na jamii ya Magadi
State House Kenya ,William Samoei Ruto ,Hon. Ali Hassan Joho
Soda ash funns Tata Group Glasshouse Fragrances

Haipendezi aswa   PWAN BENCH CAST
05/09/2026

Haipendezi aswa

PWAN BENCH CAST

OMBI latolewa kwa baharia wote katika mkoa wa PWANI fuo za bahari kuekewa muda maalum kwa wanaejivinjari na wanaotumia k...
02/09/2026

OMBI latolewa kwa baharia wote katika mkoa wa PWANI fuo za bahari kuekewa muda maalum kwa wanaejivinjari na wanaotumia k**a sehem ya kitega uchumi
Wavuvi na baharia wote wenye vibali na wasio vibali kuombwa kuwa makini kutokana na tangazo jipya la ongezeko la baridi Kali yenye kuchangia muskumo wa mawimbi makali kuhudhiriwa pindi wanapo kuwa baharini
Huku ikisukiwa kutokana na hali hio huenda ikawa ni ishara yakuhusiana na tangazo lililotolewa na viongozi wa taifa na wizara ya usafi tawi la neema Mombasa kushuhudiwa kwa elnino HIVI karibuni


FOLLOW 👉PWAN BENCH CAST
....✍️Khan Khan

High Court Suspends TSC Social Media Circular for TeachersAugust 22, 2026Shiled JeronoThe High Court in Kiambu has suspe...
27/08/2026

High Court Suspends TSC Social Media Circular for Teachers

August 22, 2026Shiled Jerono

The High Court in Kiambu has suspended a Teachers Service Commission Social Media Circular for Teachers that sought to restrict teachers’ conduct on social media. The order follows a constitutional petition filed by a teacher challenging the guidelines as an infringement on basic rights.

Justice Francis Nyungu Kyambia issued conservatory orders on Friday, August 21, 2026, temporarily halting the enforcement of the directives while the underlying case is heard and determined.


Follow 👉PWAN BENCH CAST

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PWAN BENCH CAST posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category